BAADA YA KUMALIZANA NA YANGA…..HII HAPA SIKU AMBAYO AZIZ KI ATATUA TZ….UTAMBULISHO WEKE NI HADHI YA KIFALME…
Kama ulikuwa huamini, basi taarifa ikufikie kwamba, Yanga imekamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji wa ASEC Mimosas ya Ivory Coast, Stephane Aziz Ki…