KISA KUIFUNGA AL MERRIKH ‘KIDOGO TU’ …..YANGA WAANZA KUVIMBA…TAMBO ZA HERSI SIO POA..
Rais wa Klabu Bingwa Tanzania Bara Young Africans Injinia Hersi Said amesema siku zote Uongozi wa klabu hiyo umekuwa ukitamani kutengeneza timu…
Browse all posts in this category.
Rais wa Klabu Bingwa Tanzania Bara Young Africans Injinia Hersi Said amesema siku zote Uongozi wa klabu hiyo umekuwa ukitamani kutengeneza timu…
Baada ya kurejea nchini wakitokea Rwanda, Kocha Mkuu wa Young Africans, Miguel Angel Gamondi amewataka wachezaji wake kutobweteka na ushindi walioupata dhidi…
Mabao mawili ya Yanga yaliofungwa na washambuliaji Kennedy Musonda na Clement Mzize dhidi ya ya Al Merrikh yametosha kuitanguliza Yanga mguu mmoja…
ALIYEKUWA kiungo wa Yanga, Haruna Niyonzima amefichua kinachoendelea nchini humo, kwa upande wa hali ya hewa na jinsi mashabiki wa soka walivyo…
Kuelekea Mechi ya Kombe la Ligi ya Mabingwa Barani Afrika baina ya Al Merrikh dhidi ya Young Africans Sports Viingilio vimewekwa wazi.…
KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amekiri mechi ijayo ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Merrikh ya Sudan ni ngumu,…
MATOKEO ya msimu uliopita ya kuondolewa katika Ligi ya Mabingwa Afrika na Al Hilal ya Sudan,unamuumiza kichwa, Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel…
YANGA imewafanyia umafia Al Merrikh ya Sudan baada ya kuwanasa mastaa wanane walioiwakilisha timu ya taifa ya Sudan iliyopambana na DR Congo…
Kocha Mkuu wa Young Africans, Miguel Gamondi raia Argentina, amewaangalia wapinzani wake katika Ligi ya Mabingwa Afrika, Al Merrikh ya Sudan, kisha…
KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi, amefichua kuwa, anafahamu timu hiyo ina rekodi mbaya kwenye mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa…
Uongozi wa Klabu Bingwa Tanzania Bara Young Africans umesema unafanya mchakato ili kuhakikisha mchezaji wao Stephane Aziz Ki anarejea nchini mapema kuungana…
KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Angel Gamondi ameanza kuwapa jukumu mazito mchezaji mmoja mmoja ikiwemo Max Nzengeli, Pacome Zouzoua kuelekea mechi yao…