KUELEKEA MECHI YA LEO….AUSSEMS AIUA SIMBA MAPEMAA…AIBETIA YANGA USHINDI WA KISHINDO…
Kocha wa zamani wa Simba, Patrick Aussems, raia wa Ubelgiji, ameweka wazi kuwa kwa upande wake, anaona Yanga wana nafasi kubwa katika…
Browse all posts in this category.
Kocha wa zamani wa Simba, Patrick Aussems, raia wa Ubelgiji, ameweka wazi kuwa kwa upande wake, anaona Yanga wana nafasi kubwa katika…
Msemaji wa Klabu ya Yanga Haji Manara amesema kumekuwa na tatizo la wachezaji wa kitanzania kutojitambua. Manara amedai kuwa wachezaji wengi hasa…
Ikiwa kesho April 30 Vigogo katika Soka la Tanzania Yanga watakutana na Simba katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Majira ya Saa 11…
Msemaji wa Yanga Haji Manara amesema sio yeye tu aliyevaa jezi ya Orlando Pirates, hadi Mchezaji wa Simba (aliyemuita fundi ) Jonas…
Daktari Mkuu wa kikosi cha Young Africans Sheikh Mngazija amesema wachezaji wote wa klabu hiyo wapo sawa kiafya na wanaendelea na maandalizi…
Baba Mzazi wa Kiungo wa Young Africans Salum Abubakar ‘Sure Boy’ amemtakia kila la kheri mwanawe kuelekea mchezo wa kesho Jumamosi (April…
KESHO kutakuwa na mchezo wa watani wa jadi katika Ligi kuu Tanzania Bara ambapo Yanga itaikaribisha Simba. Simba katika mchezo wa mzunguko…
KATIKA kuhakikisha wanapata ushindi dhidi ya Simba, Mdhamini wa Yanga, Bilionea Gharib Said Mohammed ‘GSM’, juzi alifanya kikao kizito na wachezaji wakiongozwa…
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mtunisia, Nasreddine Nabi, amepanga kubadilisha mbinu dhidi ya Simba kutokana na ubora wa watani wao hao wa jadi.…
Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara amesema alipopewa taarifa kuwa anatakiwa kuwa msemaji wa Klabu ya Yanga, aliogopa kwamba mashabiki wa…
Msemaji wa klabu ya Yanga, Haji Manara amepatiwa rasmi kadi ya uanachama wa klabu hiyo. Kadi hiyo iliyosajiliwa katika mfumo wa kielektroniki…
Aliyewahi kuwa Makamu wa Rais wa Shirikisho la soka nchini TFF Michael Richard Wambura amesema Young Africans ina nafasi kubwa ya kutwaa…