PAMOJA NA KUFIKA FAINAL CAF…..’PANGA KUPITA NA VICHWA’ VYA MASTAA HAWA SIMBA…ATEBA MHH…
VIKAO vizito vinaendelea ndani ya Simba kupitia tathimini za mchezaji mmoja mmoja kuona mchango wake kama utaisaidia timu hiyo msimu ujao 2025/26.…
Browse all posts in this category.
VIKAO vizito vinaendelea ndani ya Simba kupitia tathimini za mchezaji mmoja mmoja kuona mchango wake kama utaisaidia timu hiyo msimu ujao 2025/26.…
KOCHA wa Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini, Nasredine Nabi ameondoka nchini na kumtimkia Ulaya kwa mapumziko, lakini hapa Tanzania alimuacha skauti wao…
YANGA inaendelea kupasua kichwa juu ya kocha gani imchukue kwa ajili ya kulijenga upya benchi la ufundi la msimu ujao, na sasa…
KATIKA kile kinachoonekana kuwa mwanzo wa ukurasa mpya kwa klabu ya Yanga, uongozi wa timu hiyo umeweka wazi mikakati kabambe ya kuhakikisha…
KOCHA Mkuu wa Simba SC, Fadlu Davids, amefunguka hali ya kikosi chake, akisema kwa sasa akili yake yote inaelekezwa kwenye pambano la…
WINGA Joshua Mutale amekuwa mtamu kama mcharo. Kwa wanaokumbuka wakati anatua Msimbazi kutoka Power Dynamos ya Zambia, jina lake lilibeba matumaini. Mutale…
Unakumbuka neno kipengele lilivyogonga vichwa vya habari wakati wa sakata la kuahirishwa kwa mechi ya watani wa jadi? Basi neno hilo limerejea…
NYOTA wa zamani wa Yanga, Haji Mwinyi Ngwali, ameshindwa kujizuia na kuibuka akiwatoa hofu mashabiki wa timu hiyo kuhusu kuondoka kwa kiungo…
MABOSI wa Yanga, wameendelea kufanya yao kimyakimya katika mchakato wa kusaka kocha atakayepewa nafasi ya kuiongoza timu hiyo kwa msimu ujao huku…
BILIONEA wa Klabu ya Simba, Mohammed ‘MO’ Dewji ameridhishwa na mafanikio ya timu hiyo kimataifa licha ya kwamba imeshindwa kubeba ubingwa wa…
KOCHA Msaidizi wa timu ya taifa, Taifa Stars, Jamhuri Kihwelo “Julio”, amewataka viongozi wa klabu ya Simba wanaingia sokoni kusajili wachezaji wa…
NYOTA wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Simon Msuva, amesema ushindani mkubwa uliopo kwenye Ligi Kuu ya Tanzania unawalazimu wachezaji…