28 WAITWA TAIFA STARS….SAMATTA AOMBA POOO….MZINZE, MUDATHIR MHHH…..
KOCHA mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Hemed Suleiman ‘Morocco’, ametaja kikosi cha nyota 28 kwa ajili ya kujiwinda…
Browse all posts in this category.
KOCHA mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Hemed Suleiman ‘Morocco’, ametaja kikosi cha nyota 28 kwa ajili ya kujiwinda…
SIKU chache baada ya Simba SC kupoteza nafasi ya kutwaa ubingwa wa Kombe la Shirikisho Afrika, golikipa wa timu hiyo, Aishi Manula,…
KIUNGO mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’ ameendelea kushika vichwa vya mashabiki wa soka kutokana na tetesi za kuanza kuwindwa…
KOCHA wa RS Berkane, Moine Chaabani, amekiri pamoja na timu anayoinoa kubeba ubingwa wa tatu wa Kombe la Shirikisho Afrika baada ya…
VIUNGA vya Jangwani mambo yanaonekana kana kwamba yamepoa, kikosi cha Yanga kikiwa mawindoni katika viwanja vya mazoezi kujiwinda na michezo iliyobaki kumalizia…
HUENDA hii isiwe taarifa nzuri kwa Wanasimba ambao juzi waliishuhudia timu yao ikivaana na RS Berkane ya Morocco katika pambano la marudiano…
SIMBA imeumia. Mashabiki wamebeba majonzi. Viongozi wamesalia na maswali. Lakini katikati ya huzuni hii nzito, moto mpya unawashwa Msimbazi. Moto wa mageuzi.…
KITENDO cha Aziz KI kukubali dili la kutua Wydad, atakuwa anaweka kwenye waleti mshahara wa Sh72.3 milioni kwa mwezi. Ni mara mbili…
USHINDANI wa mastaa kwenye Ligi Kuu Bara msimu huu umezidi kukolea na kusababisha mambo kuzidi kunoga. Lakini kuna kuna linakwenda kutokea kati…
Timu ya Taifa ya soka ya Tanzania ‘Taifa Stars’ itacheza mechi ya kimataifa ya kirafiki dhidi ya Afrika Kusini ‘Bafana Bafana’, Juni…
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi ametembelea kambi ya timu na kupata nafasi ya kuongea…
SIMBA ina mafaza wawili tu kwasasa na wote wapo kikosi cha kwanza. Shomari Kapombe na Mohammed Tshabalala. Wamepigwa mishale mingi lakini bado…