MERIDIANBET YAHESHIMISHA WANAWAKE KATIKA SIKUKUU YAO…
Kama ilivyo kawaida kwenye matukio makubwa basi ndipo kampuni kubwa napo inapojitokeza ambapo katika sikukuu ya Wanawake duniani Meridianbet walifanikiwa kuonesha mchango…
Browse all posts in this category.
Kama ilivyo kawaida kwenye matukio makubwa basi ndipo kampuni kubwa napo inapojitokeza ambapo katika sikukuu ya Wanawake duniani Meridianbet walifanikiwa kuonesha mchango…
BAADA ya kupata ushindi wa mabao 3-1 mbele ya Namungo FC, Kocha wa Yanga, Miguel Gamondi, amesema ameridhishwa na kiwango cha nyota…
Wkati ambao sakata la Prince Mpumelelo Dube likipamba moto pale viunga vya Azam Complex, pale Msimbazi mambo sio mambo, Jangwani wao wanakula…
Ofisa Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Singida Fountain Gate, Hussein Massanza amesema licha ya Simba SC kufika robo fainali ya michuano…
Sakata la mshambuliaji Prince Dube limeingia sura mpya baada ya nyota huyo raia wa Zimbabwe kudai ndani ya klabu ya Azam viongozi…
Maswali yaliyopo vichwani kwa mashabiki na wadau wa soka nchini ni kuhusu hatima ya kiungo fundi wa Simba, Mzambia, Clatous Chama. Je…
Mshambuliaji wa Tanzania Prisons, Samson Mbangula amesema amefurahi kuitungua Simba na kuipa timu yake pointi tatu za kwanza ugenini mbele ya Mnyama…
Kocha wa zamani wa Yanga, Nasreddine Nabi ambaye anaendeleza moto katika Ligi Kuu ya Morocco akiwa na FAR Rabat, huku akiendelea kuifuatilia…
Kocha Mkuu wa Simba, Abdelhak Benchikha ameondoka nchini kwenda Algeria kubrashi taaluma aliyonayo, akiwa ameiongoza timu hiyo katika mechi 15 za michuano…
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia amesema kuwa atawania tena Urais wa Shirikisho hilo kwa awamu mbili…
WAKATI mabosi wa Azam FC wakiendelea kumkomalia mshambuliaji, Prince Dube anayelazimisha kuondoka klabuni hapo, benchi la ufundi na timu hiyo nalo limepata…
MUDATHIR Yahya amefunga bao lake la sita katika mechi saba za michuano yote wakati Yanga ikiilaza Namungo 3-1 kwenye Uwanja wa Majaliwa…