Michezo Bongo

Browse all posts in this category.

Michezo Bongo

SIMBA YASALIA NA MPANGO WA NDANI

MENEJA  wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, ameweka wazi kuwa klabu hiyo imefunga rasmi usajili wa kimataifa…

Jan 28, 2026
Michezo Bongo

MAMBO MAKUBWA YANAKUJA SIMBA

UJIO wa kiungo mshambuliaji mpya, Alain Anicet Oura, umeendelea kuwapa matumaini makubwa viongozi wa Simba SC, ambao wanaamini usajili unaoendelea kufanywa utaibua…

Jan 28, 2026
Michezo Bongo

ECUA KUTUA JS KABYLIE KWA MKOPO

KIUNGO wa Yanga, Celestine Ecua yupo mbioni kujiunga na klabu ya JS Kabylie ya Algeria kwa mkataba wa mkopo, huku taarifa zikieleza…

Jan 27, 2026
Michezo Bongo

FAIDA KWA WACHEZAJI MERIDIANBET NA RUBY PLAY

Meridianbet inakuletea faida halisi kupitia Ruby Play, ambapo kila mchezo unaleta uwezekano wa kuongeza kipato chako. Sloti za kisasa na bora zinahakikisha wachezaji hawaishi…

Jan 27, 2026
Michezo Bongo

YANGA YAITAKA DODOMA JIJI KMC COMPLEX

NYASI za Uwanja wa KMC Complex uliopo Mwenge zinatarajiwa kuwaka moto leo, Yanga SC ikiwakaribisha Dodoma Jiji FC katika mchezo wa Ligi…

Jan 27, 2026