HII HAPA RATIBA YA ‘MPAPATUKO’ WA NBC PREMIER LEAGUE LEO JUMAMOSI…MECHI KALI YA SIKU NI HII…
LEO Aprili 23 Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea ambapo kuna mechi zinatarajiwa kuchezwa. Yanga v Namungo, Uwanja wa Mkapa Dodoma Jiji v…
Browse all posts in this category.
LEO Aprili 23 Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea ambapo kuna mechi zinatarajiwa kuchezwa. Yanga v Namungo, Uwanja wa Mkapa Dodoma Jiji v…
SHOMARI Kapombe alituliza kichwa juzi tena kwa mara nyingine na kufunga penalti pekee iliyoamua pambano la Simba dhidi ya Orlando Pirates katika…
WAKATI wowote kuanziaa sasa kocha mkuu wa Simba, Pablo Franco Martinez anaweza kuondoka klabuni hapo. Ambacho hakijulikani ni kimoja tu, ataondoka kwa…
KWANZA matokeo! Yalinishtua? Lazima jibu langu liwe hapana. Ningeshtuka kama Simba wangeshinda kwa idadi kubwa ya mabao, labda kama tatu au nne…
WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho Afrika, Simba wameanza vyema kwa ushindi wa bao 1-0 katika hatua ya robo fainali dhidi…
Kocha Msaidizi wa Yanga Cedric Kaze amethibitisha kiungo mshambuliaji wa klabu hiyo Saido Ntibazonkiza atakosekana kwenye mchezo wa dhidi ya Namungo utaopigwa…
Msafara wa viongozi pamoja na wachezaji wa Simba leo wamewasili salama nchini Afrika Kusini kwa ajili ya maandalizi ya mwisho ya mchezo…
Kocha Msaidizi wa timu ya Namungo, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ amesema ni uoga kwa timu ya Simba kumtumia kipa mmoja msimu mzima huku…
KIUNGO mkabaji wa Kiyovu ya Rwanda, Mrundi, Ismail Nshimiyimana ‘Pitchou’, amefunguka kuwa, haitakuwa shida kwake kama ikitokea anapata nafasi ya kucheza sambamba…
Dereva wa langalanga Lewis Hamilton na nyota wa tennis Serena Williams wameungana na mwekezaji Sir Martin Broughton kutaka kuinuna klabu ya Chelsea…
Licha ya Simba kuwa na mastaa kibao wenye uwezo mkubwa, lakini jina la beki Shomary Kapombe limekuwa gumzo Afrika Kusini wakati timu…
Yanga na Namungo kila moja ipo kambini ikijiandaa na pambano la Ligi Kuu Bara baina yao litakalopigwa keshokutwa Uwanja wa Benjamin Mkapa,…