WAWAKILISHI WA KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA, SIMBA, YANGA, AZAM, SINGIDA FG, RATIBA KAMILI IKO HIVI
WAWAKILISHI wa Tanzania, Yanga na Simba kwenye Ligi ya Mabingwa na Singida Fountain Gate na Azam kwenye Kombe la Shirikisho Afrika wapo…
Browse all posts in this category.
WAWAKILISHI wa Tanzania, Yanga na Simba kwenye Ligi ya Mabingwa na Singida Fountain Gate na Azam kwenye Kombe la Shirikisho Afrika wapo…
KLABU ya Yanga imetangaza kumuuza mchezaji wake Yannick Bangala katika timu ya Azam. Bangala hakuwemo kwenye utambulisho wa wachezaji katika kilelele cha…
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba, Imani Kajula amesema kuwa klabu hiyo ipo kwenye hatua za mwisho za kukamilisha mazungumzo na…
Zikiwa zimebaki siku nne kwa Simba kumaliza kambi maalumu nchini Uturuki, kocha wa timu hiyo, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ ameshtukia kitu baada ya…
Baada ya kukaa Yanga kwa misimu miwili, sasa ni rasmi, Fiston Mayele anaondoka nchini kwenda kujiunga na timu yake mpya, Uarabuni, wikiendi…
MARA baada ya kuripoti kambini na kushuhudia nyota wenzake wapya waliosajiliwa, kiungo wa Simba Luis Miqquissone ameibuka na kutamka kuwa msimu ujao…
WAKATI watu wakiwa wanawaza Yanga ya msimu ujao itakuwaje basi fahamu kuwa kila kitu kimekamilika kwenye mipango mipya chini ya Kocha, Miguel…
IMEELEZWA kuwa, Klabu ya Yaoundé kutoka nchini Cameroon, imeweka ofa ya dola 165,000 (Sawa na Sh 402,375,600 za Kitanzania) ili wamuachie mshambuliaji…
UONGOZI Simba, umeweka wazi kuwa, wale watu wanaobeza wao kumrejesha Luis Miquissone, watulie kwani watamshangilia huko mbeleni baada ya kushangazwa na uwezo…
HUKO ndani ya Yanga, unaambiwa mambo yameanza kuiva, hiyo ni kutokana na Kocha Miguel Angel Gamondi kutamba na timu yake hiyo haswa…
SIMBA imeendelea kujifua nchini Uturuki kwaajili ya msimu mpya huku kocha mkuu wa kikosi hicho Roberto Oliveira akitamba kutisha zaidi msimu ujao.…
Baada ya kuachwa na Yanga, winga wa zamani wa Simba, Benard Morrison amegoma kuondoka Tanzania na ameonekana akicheza mechi ya Ndondo kwenye…