KISA NGAO YA JAMII KUPIGWA TANGA…JEMEDARI AMVAA KARIA…AFUNGUKA ANAVYOPENDELEA KWAO..
Mchambuzi wa masuala ya soka, Jemedari Said amemvaa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia kufuatia maamuzi ya shirikisho hilo…
Browse all posts in this category.
Mchambuzi wa masuala ya soka, Jemedari Said amemvaa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia kufuatia maamuzi ya shirikisho hilo…
Klabu ya Simba imesema kuwa watani wao wa jadi yanga wamemchukua aliyekuwa kiungo wao mkongwe, Jonas Gerard Mkude baada ya klabu hiyo…
Umewahi kuisikia stori kuhusu Staa wa Uigizaji Mmarekani George Clooney na mkewe Amel Clooney ambao kwa pamoja walikubaliana kuzikataa Usd milioni 35,…
Wekundu wa Msimbazi Simba wapo kwenye mazungumzo na viungo wakabaji watatu kutoka nje ya nchi kwa ajili ya kutibu tatizo la nafasi…
Rasmi beki wa kati wa Cotton Sports ya nchini Cameroon, Che Fondoh Malone anakuja kuiboresha safu ya ulinzi ya Simba SC katika…
BAADA ya klabu ya KMC kujihakikishia kucheza Ligi Kuu Bara kwa msimu ujao viongozi wa timu hiyo wametenga bajeti ya Sh1 bilioni…
Mabosi wa Simba SC wameweka wazi kuwa maboresho yatakayofanywa kwenye kikosi hicho kwa msimu wa 2023/24 ni makubwa yenye malengo ya kuimarisha…
KLABU ya Singida Fountain Gate imepokea hundi ya Sh50 milioni ambayo ni bonasi kutoka kwa wadhamini wao Sportpesa. Sportpesa imetoa pesa hiyo…
MASHABIKI wa Yanga walikuwa na presha juu ya timu yao kupewa kibano cha kuzuiwa kusajili madirisha matatu kutokana na deni ya kocha…
SAIDO Ntibazonkiza, Clatous Chama na Shomary Kapombe walikuwa wakila bata makwao kipindi hiki cha mapumziko, lakini ghafla wakapigiwa simu na mabosi wao…
WAKATI leo ni siku ya pili tangu kufunguliwa dirisha la usajili kwa msimu ujao, mabosi wa Yanga wamepokea simu nzito kwa kocha…
Ni Dhahir Uongozi wa Young Africans umekamilisha usajili wa Kiungo fundi kutoka Ivory Coast Zougrana Mohamed, ambaye pia ana uwezo wa kucheza…