KUELEKEA MSIMU UJAO…MO DEWJI KUZIBOMOA AZAM, SINGIDA NA VIPERS…MASTAA HAWA KUTUA SIMBA…..
Sahau kuhusu matokeo ya mechi ya juzi, Simba ilipovaana na Ruvu Shooting. Kwa sasa Wekundu wa Msimbazi wanapiga hesabu za msimu ujao…
Browse all posts in this category.
Sahau kuhusu matokeo ya mechi ya juzi, Simba ilipovaana na Ruvu Shooting. Kwa sasa Wekundu wa Msimbazi wanapiga hesabu za msimu ujao…
Kiungo Mkabaji kutoka nchini Ethiopia na Klabu ya Saint George Gatoch Panom Yiech amesema yupo tayari kusajiliwa Simba SC, endapo atapata ofa…
Mama Mjane mwenye familia ya watoto 19 Mary Masanja amejikuta akimtoa machozi Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Meridianbet Matina Nkurlu, baada…
Vyombo vya Habari nchini Afrika Kusini, vimeripoti kuwa, Klabu ya Kaizer Chiefs haina mpango wa kumsajiri mshambuliaji wa Yanga, Fiston Mayele bali…
Kampuni ya Uwakala ya TNB Sports Agency Management inayomsimamia Mshambuliaji wa Marumo Gallants ya Afrika Kusini Ranga Chivaviro, imethibitisha kupokea ofa kutoka…
Mshambuliaji wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans Fiston Kalala Mayele amesema kuwa yeye pamoja na wachezaji wenzake ambao waliukosa ubingwa…
Imefahamika kuwa Mshambuliaji wa AS Vita ya DR Congo, Eric Kabwe ameaga mjini Kinshasa huku akiweka wazi hatakuwepo kwenye kikosi cha timu…
Beki kutoka nchini Rwanda Thierry Manzi amefunguka kwa mara ya kwanza kuhusu mpango wa kuwindwa na Klabu ya Simba SC, ambayo imedhamiria…
Viongozi wa Simba umesema mkwanja wanaotarajia kupata watafanya usajili mkubwa huku baadhi ya nyota wakitajwa akiwemo kiungo wa Azam FC, Sospeter Bajana…
KOCHA mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amefanikiwa kunasa faili ya USM Alger kwa kubaini ubora na madhaifu ya mpinzani wao huyo kuelekea…
Kocha Mkuu wa US Alger ya Algeria ambao ni wapinzani wa Young Africans Abdelhak Benchikha amepatwa na kigugumizi kuwazungumzia wapinzani wake hao…
Kocha Mkuu wa Simba, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ yupo siriazi kwelikweli akimtaja kiungo mkabaji na nahodha wa Azam, Sospeter Bajana baada ya kusisitiza…