MASHINE YA KAZI HII HAPA….MABOSI SIMBA NA YANGA WAVIZIANA AIRPORT…
Beki wa Kati wa Kabwe Warrior ya Zambia, Marcel Kalonda raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo anahusishwa na klabu zenye misuli…
Browse all posts in this category.
Beki wa Kati wa Kabwe Warrior ya Zambia, Marcel Kalonda raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo anahusishwa na klabu zenye misuli…
Kuelekea mchezo wa Mkondo wa Kwanza wa Fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika, Uongozi wa Young Africans umeongeza ulinzi katika kambi…
Uongozi wa Klabu Bingwa Tanzania Bara Young Africans umesema Kiungo kutoka visiwani Zanzibar Feisal Salum Abdallah ‘Fei Toto’ atakabidhiwa medali yake ya…
Refa kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Jean-Jacques Ngmbo Ndala ndiye atakayechezesha Fainali ya Kwanza ya Kombe la Shirikisho Afrika Jumapili…
Kocha Mkuu wa Simba SC Roberto Oliveira ‘Robertinho’ anaendelea na mpango wa kufanikisha usajili wa baadhi ya wachezaji ambao anahisi watamfaa kwa…
Klabu ya Azam FC imeanza kuhusishwa na taarifa za kumsajili Mshambuliaji tegemeo wa Mabingwa wa Soka nchini Sudan Al Hilal Omdurman, Mkongomani,…
Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans wanaendelea kupata Baraka za kutoboa Fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika msimu huu, kufuatia…
Mlinda Lango wa Geita Gold FC, Arakaza Mc Arthur, anatajwa kuwindwa na Simba SC ambayo inajipanga kuongeza nguvu katika safu hiyo baada…
Aliyewahi kuwa Msemaji wa Klabu ya Simba, Haji Sunday Manara amesema kuwa jambo linaloiponza timu hiyo na kuishia robo fainali ya michuano…
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imetangaza kuwa mechi za mwisho za msimu wa 2022/23 wa Ligi Kuu ya NBC zitachezwa Juni…
Wakati akisajiliwa Yanga katika dirisha dogo la usajili lililodumu kwa mwezi mmoja kuanzia Disemba mwaka jana hadi Januari mwaka huu, Mudathir Yahya…
Kocha Mkuu wa Simba, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ amesema sababu kubwa ya kutomfanyia mabadiliko ya mara kwa mara nyota wa timu hiyo, Saidi…