KUTOKA TUNISIA…YANGA ‘WAJIWEKA MGUU SAWA’…KAZE AVUNJA UKIMYA HALI ILIVYO…
Kikosi cha Yanga kimefanya mazoezi ya kwanza ya ufundi asubuhi ya jana kwenye viwanja vya Olympic de Rades nchini Tunis, Tunisia kwa…
Browse all posts in this category.
Kikosi cha Yanga kimefanya mazoezi ya kwanza ya ufundi asubuhi ya jana kwenye viwanja vya Olympic de Rades nchini Tunis, Tunisia kwa…
KIPA wa zamani wa Simba, Kelvin Mhagama amekitaka kikosi cha Simba kuwa makini kwenye michuano ya kimataifa, huku akimpa ujanja kipa Aishi…
Winga wa Simba, Pape Sakho ametupia mabao saba kwenye Ligi Kuu Bara akiwa mchezaji wa nne mwenye mabao mengi ndani ya kikosi…
Golikipa wa Timu ya Yanga, Aboutwaleb Mshery amefanyiwa operesheni leo mjini Sousse hapa Tunisia. Taarifa ya daktari wa Yanga imesema operesheni hiyo…
Unapozungumzia starehe ya kubashiri mchezo huwezi kuwaacha Meridianbet wao ndio mabingwa wa hizi kazi, na kuthibitisha hili, wamezindua dula la kubashiri maeneo…
Klabu ya Simba SC imetoa ufafanuzi wa kina kuhusu kuachwa kwa Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Burundi Saido Ntibazonkiza, kwenye safari ya Guinea.…
Beki na Nahodha wa Yanga Bakari Nondo Mwamnyeto ameonesha ujasiri kuelekea mchezo wa Kwanza wa Kundi C, Kombe la Shirikisho Barani Afrika.…
Mshambuliaji kutoka DR Congo na Klabu ya Yanga amewashusha ‘PRESHA’ Mashabiki na Wanachama wa Klabu hiyo, kuelekea mchezo wa Kombe la Shirikisho…
Kocha wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara na Washiriki wa Hatua ya Makundi Kombe la Shirikisho Barani Afrika Yanga Nasreddine Nabi, amefunguka…
Mratibu wa Klabu ya Simba SC Abbas Ally amesema hali ya hewa ya mjini Conakry, Guinea haina tofauti sana na nyumbani Tanzania,…
Kikosi cha Yanga rasmi kimeanza mazoezi nchini Tunisia, baada ya kuwasili mjini Tunis jana Jumatano (Februari 08), kikitokea Dar es salaam-Tanzania. Kurasa…
Wachezaji na Maafisa wa Benchi la Ufundi la Simba SC wataendelea kuvaa vifaa vya Michezo vyenye nembo ya Mdhamini Mkuu wa klabu…