CHAMA TENA…ACHUJWA SAFARINI SIMBA WAKIENDA DODOMA…ISHU NZIMA IKO HIVI…
Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Zambia, Clatous Chotta Chama hajasafiri na kikosi cha Simba SC, kilichoanza safari ya kuelekea mkoani Dodoma kwa ajili…
Browse all posts in this category.
Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Zambia, Clatous Chotta Chama hajasafiri na kikosi cha Simba SC, kilichoanza safari ya kuelekea mkoani Dodoma kwa ajili…
Wakati mashabiki wa Simba wakichekelea na kufurahia kiwango bora cha nyota wao mpya, kiungo mshambuliaji, Saido Ntibazonkiza, lakini imebainika timu za Tanzania…
Baada ya kuenea kwa taarifa kuhusu usajili wa mshambuliaji wa Simba, Jean Baleke kwamba ametua hapo kwa mkopo akitokea TP Mazembe, uongozi …
Kocha Msaidizi wa Simba, Juma Mgunda amewataka mashabiki na wanachama wa klabu hiyo kumpa muda kocha wao Roberto Oliveira ‘Robertinho’, ili aweze…
Kikosi cha Yanga kimeendelea na mazoezi kwenye uwanja wa Avic, Kigamboni Dar es Salaam kwa kucheza mechi ya mazoezi na timu ya…
Meneja wa Habari na Mawasiliano Simba SC, amepingana na baadhi ya Mashabiki na Wanachama wa Klabu hiyo ambao hawakupendezwa na maamuzi ya…
Imebainika kuwa mshambuliaji kinara wa mabao Ligi Kuu Tanzania Bara anayekipiga kunako klabu ya Yanga, Fiston Kalala Mayele msimu uliopita wa 2021/2022…
Klabu ya Yanga walimuacha mchezaji wao Saido Ntibazonkiza kwa kile kilichoelezwa kuwa ni utovu wa nidhamu na wakamsajili Bernard Morrison alieachwa na…
Mshambuliaji mpya wa Wananchi, Kennedy Musonda amesema kuwa anaifahamu Yanga tangu miaka sita iliyopita wakati akicheza Zanaco FC ya nyumbani kwao Zambia.…
Baada ya kamati ya sheria na hadhi za wachezaji ya Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF kuthibitisha kuwa kiungo Feisal Salum…
Mchezo wa kirafiki kati ya PSG dhidi ya kombaini ya mastaa wa Al Hilal na Al Nassr umemalizika mjini Riyadh nchini Saudi…
Mshambuliaji mpya wa Simba, Jean Baleke atakuwa sehemu ya kikosi cha timu hiyo kitakachoanza mazoezi mara baada ya kumalizana na mchezo wa…