WAKATI MKATABA WAKE UKIKARIBIA KUISHA…CHAMA AWASHIKA PABAYA MABOSI SIMBA…
Mabosi wa Simba wanakuna kichwa baada ya kiungo fundi na mkali wa asisti wa kikosi hicho, Clatous Chama kuwashika pabaya. Undani wa…
Browse all posts in this category.
Mabosi wa Simba wanakuna kichwa baada ya kiungo fundi na mkali wa asisti wa kikosi hicho, Clatous Chama kuwashika pabaya. Undani wa…
Dirisha dogo la usajili linafunguliwa wiki ijayo. Yanga imewapigia simu mastraika wawili, Lazarous Kambole na Yacouba Sogne warejee kikosini haraka ili wawaangalie…
Ligi Kuu ya Hispania(LaLiga) na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika(CAF) zimeipongeza klabu ya Yanga kwa kuweka rekodi ya kutofungwa michezo 49…
Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara ameibua gumzo mitandaoni baada ya kudai kwamba alikutana na staa wa Ureno, Cristiano Ronaldo nchini…
Simba inaendelea kupiga hesabu za kusuka kikosi kimyakimya na kufanya mambo mapema na sasa mabosi wa klabu hiyo wameonyesha hawatanii kwa kumganda…
Ule utamu halisi wa michuano ya kombe la dunia sasa utaupata hatua ya mtoano ya timu 16 bora, ile miamba iliofuzu kutoka…
Mshambuliaji wa Simba, Nelson Okwa asubuhi ya leo (Ijumaa), amerejea nchini akitokea kwao Nigeria kwa ajili ya matibabu ya nyama za nyuma…
Kikosi cha Yanga tayari kipo Dar es Salaam, kikitokea Mbeya ilikotibuliwa rekodi yao ya kutopoteza mechi (unbeaten) katika Ligi Kuu Bara baada…
Kiungo wa Kimataifa wa Mali, Sadio Kanoute ameshinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mashabiki mwezi Novemba akiwaangusha wazawa, beki Shomari Kapombe na…
Mastaa watatu wa Yanga, wameonja joto la jiwe baada ya kusimamishwa na kocha Nasreddine Nabi kutokana na utovu wa nidhamu. Mastaa hao…
Ushindi raha sana buana asikwambie mtu, kwani unaambiwa baada ya kuizima Yanga juzi mastaa wa Ihefu wametembezewa mkwanja ikiwa ni motisha ya…
Aliyekua Kocha wa Yanga na baadae Mkurugenzi wa soka la vijana na wanawake wa klabu hiyo Mwinyi Zahera. Zahera amejiunga na klabu…