MIEZI MIWILI KABLA YA KOMBE LA DUNIA….HAWA HAPA MASTAA 10 AMBAO ITAKUWA MARA YAO YA MWISHO KUCHEZA SOKA…
Kombe la Dunia la FIFA la 2022 liko karibu kabisa. Tumebakiza miezi miwili kabla ya mchezo wa ufunguzi wa mashindano hayo makubwa…
Browse all posts in this category.
Kombe la Dunia la FIFA la 2022 liko karibu kabisa. Tumebakiza miezi miwili kabla ya mchezo wa ufunguzi wa mashindano hayo makubwa…
Klabu ya Tanzania Prisons imeingia mkataba wa mwaka mmoja na kampuni ya kimataifa ya Silent Ocean ambao unalenga kuijenga zaidi klabu hiyo.…
Siku chache baada ya kuondoka Chelsea FC, aliyekua Meneja wa Klabu hiyo ya jijini London Thomas Tuchel amefunguka kwa mara ya kwanza…
Rais wa Klabu Bingwa Tanzania Bara Young Africans Injinia Hersi Said leo Jumatatu (Septemba 12), amesaini mkataba mpya wa udhamini na kampuni…
Kocha Msaidizi wa Mtibwa Sugar Awadh Juma amesema kikosi chao kimewasili salama jijini Dar es salaam tayari kwa mchezo wa Mzunguuko wanne…
Mchambuzi wa Soka la Bongo Edo Kumwembe ameweka wazi ufahamu wake kuhusu uwepo wa Kocha Msaidizi wa Simba SC Seleman Matola ambaye…
BERNARD Morrison. Fundi mmoja wa mpira pale Yanga. Anajua sana soka huyu mwamba kutoka Ghana. Ana uwezo mkubwa wa kumiliki mpira. Ana…
Beki wa Yanga, Abdallah Shaibu ‘Ninja’ rasmi sasa yupo tayari kuitumikia Dodoma Jiji kwa mkopo. Ninja anayemudu kucheza namba tano ama sita…
Kocha Mkuu wa Klabu Bingwa nchini Malawi ya Nyasa Big Bullets Callisto Pasuwa ni kama ameamua kutumia mbini waliyoitumia wale wabotswana Jwaneng…
Klabu ya Young Africans ya jijini Dar Es Salaam, leo imesaini mkataba mpya wa udhamini na kampuni ya GSM wenye thamani ya…
Kikosi cha Azam FC kimewasili salama jijini Mbeya tayari kwa mchezo wa Mzunguuko wanne wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Mbeya…
Kamati ya Katiba, Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), imekata mzizi wa fitina kwa kuuzuia…