UKWELI MCHUNGU….PAMOJA NA YOTE YANAYOENDELEA SIMBA…SIO BURE KUNA MAHALI HAPAKO SAWA…/MwanaSpoti.
ACHANA na taarifa za vyeti na leseni za CAF. Achana na taarifa za Simba kudaiwa kuazima kocha na Coastal Union kukanusha. Achana…
Browse all posts in this category.
ACHANA na taarifa za vyeti na leseni za CAF. Achana na taarifa za Simba kudaiwa kuazima kocha na Coastal Union kukanusha. Achana…
Mshambuliaji Mbwana Samatta alifunga katika dakika ya nyongeza na kuisaidia KRC GENK kuibuka na ushindi wa 2-1 ugenini dhidi ya Royale Union…
Timu ya Kipanga ya Zanzibar imetoa sare ya 1-1 na Al Hilal Wau y Sudan Kusini jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi…
Baada ya kuwasili Dar es salaam jana Jumapili (Septemba 11) sambamba na kikosi chake, Kocha Mkuu wa Muda wa Simba SC Juma…
Hatulazi damu, wiki hii tunaendelea kukupatia mihela ya kutosha kwenye mechi za UCL, chakufanya andaa mkeka wako meridianbet wamekupa odds kubwa kwenye…
MEDDIE Kagere ni miongoni mwa nyota walioanza kikosi cha kwanza kilichopangwa na Kocha Mkuu Hans Pluijm mwenye tuzo ya kocha bora kwa…
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema bado kazi ipo kwenye mchezo wao ujao wa kimataifa dhidi ya Zalan FC. Jana, Septemba…
JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba amesema aliwaambia wachezaji wacheze mpira jambo lililowapa matokeo chanya. Jana, Simba ikiwa ugenini iliambulia ushindi wa…
Baada ya kupata maumivu ya kupokonywa ubingwa na Zambia kwenye mchezo wa nusu fainali ya michuano ya Cosafa, hatimaye timu ya taifa…
STRAIKA wa Yanga, Fiston Mayele ameanza kufukuzia moto wa kuvunja ufalme wa lejendi, Mrisho Ngassa ambaye ndiye aliweka rekodi ya kufunga hat-trick…
Nyota wa Yanga, Feisal Salum ameweka wazi kuwa ni furaha kwake kufunga kwa ajili ya kuipa matokeo timu yake jambo ambalo anaamini…
Simba imeachana na Kocha Zoran Maki akiwa amekaa klabuni hapo kwa siku 67 tangu alipoajiriwa rasmi Julai 1 na kufutwa kazi Septemba…