BAADA YA MASHABIKI SIMBA KUANZA MINONG’ONO KUHUSU UWEZO WA DEJAN…MAKI AIBUKA NA UTETEZI HUU NA NINI KILITOKEA…
Kocha Mkuu wa Simba, Zoran Maki amesema akiwa kambini nchini Misri aliwaambia mabosi wake kuwa anahitaji straika mwingine mwenye kiwango bora zaidi…