MERIDIANBET WALIFURUKUTA KUCHUANA NA WAHAMASISHAJI DIMBANI…
Meridianbet walipimana nguvu na kikosi cha timu ya wahamasishaji kilichoongozwa na Jemedari Said Kazumari, na Foby wikiendi iliyopita. Kabla ya mechi hii…
Browse all posts in this category.
Meridianbet walipimana nguvu na kikosi cha timu ya wahamasishaji kilichoongozwa na Jemedari Said Kazumari, na Foby wikiendi iliyopita. Kabla ya mechi hii…
Unamkumbuka yule kocha wa viungo Mtunisia ambaye alikuwa kipenzi cha mashabiki wengi wa wa Simba katika ufanyaji wake wa kazi. Si mwingine…
Benchi la Ufundi la Mtibwa Sugar chini ya Kocha Mkuu Salum Shaban Mayanga limetoa ufafanuzi wa kuwatema baadhi ya Wachezaji waliokuwa nao…
Aliyekuwa msemaji wa Yanga SC, Haji Sunday Manara kwa mara nyingine, amemuomba radhi Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa. Manara…
Taarifa za ndani kabisa zinaeleza kuwa, kuna uwezekano mkubwa leo Singida Big Star wakamtambulisha Meddie Kagere kuwa jembe lao jipya kwa ajili…
Wiki ya pili ya kambi ya Azam FC hapa El Gouna Misri imekuwa tofauti kidogo na ya kwanza. Wiki ya kwanza ilitawaliwa…
Soka linaendelea! Ratiba ya Africa Women Cup Of Nations (AWCON) Jumatatu na Jumanne hii kupitia chaneli za SuperSport. Mechi hizi zitaruka kupitia…
Mchezaji kiraka wa Yanga, Mkongomani, Yannick Bangala, baada ya kuongeza mkataba wa kuendelea kuitumikia timu hiyo, inaelezwa kwamba thamani ya mkataba huo…
Huko Yanga hakuna kulala, ni mwendo wa bandika bandua tu. Wakati Rais Hersi Said akitaja safu ya uongozi atakayofanya nayo kazi, Kamati…
Timu ya Geita Gold Fc leo imetangaza kumsajili Shawn Oduro raia wa Ghana kama sehemu ya maandalizi ya msimu mpya wa ligi…
Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara imetangazwa jana, Jumatano Agosti 3 na Bodi ya Ligi kwenye wiki ya kwanza itashuhudiwa Yanga ikianza…
Rais Hersi Said ameweka wazi kuwa mahitaji yao ni kuweza kuwa kwenye mwendelezo wa kuwa na rekodi bora kwa msimu wa 2022/23…