ISHU YA FAINI YA YANGA CAF YAIBUA MENGINE, TANZANIA YAPEWA ONYO
SHIRIKISHO la Soka Tanzania, (TFF) limekutana na timu zinazoshiriki mashindano ya kimataifa ili kufanyia kazi kasoro zote zilizojitokeza katika michezo ya awali.…
Browse all posts in this category.
SHIRIKISHO la Soka Tanzania, (TFF) limekutana na timu zinazoshiriki mashindano ya kimataifa ili kufanyia kazi kasoro zote zilizojitokeza katika michezo ya awali.…
MWENYEKITI wa Kamati ya Usajili ya Klabu ya Yanga, Eng. Hersi Said Mohamed amesema kuwa kwa sasa mpango mkakati wao kama GSM…
DIDIER Gomes, Kocha Mkuu wa Simba imeelezwa kuwa anapata tabu kupanga kikosi cha timu hiyo kwa sasa bila ya uwepo wa viungo…
KITENDO cha mabosi wa Yanga kushindwa kujibu tuhuma za kuwafanyia vurugu wapinzani wao kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika, Rivers United…
SHOMARI Kapombe beki wa Klabu ya Simba ambaye ni chaguo la kwanza mbele ya Kocha Mkuu, Didier Gomes amepewa nyota za kutosha…
Beki wa kushoto wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Simba SC Gadiel Michael, ameendelea kupambana na wadau wa soka wanaomshambulia kupitia mitandao…
NYOTA wawili wa kikosi cha Simba ambao ni mshambuliaji Chris Mugalu na kiungo Osmane Sakho kuna hatihati wakaukosa mchezo ujao wa…
BAADA ya kucheza mechi mbili, kituo kinachofuata kwa Yanga ni Oktoba 19 dhidi ya KMC mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Majimaji, Songea.…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumanne
MABINGWA wa taji la COSAFA, Timu ya Taifa ya Wanawake,’Twiga Stars’ leo wamerejea Tanzania wakitokea nchini Afrika Kusini ambapo walikuwa kwenye mashindano…
MPAMBANAJI Simon Msuva, nyota aliyewatungua Benin, jana Oktoba 10 Stars ilishinda bao 1-0 na kukusanya pointi tatu muhimu amesema kuwa ni baba…
WACHEZAJI wa Simba ambao walikuwa wanasumbuliwa na majeraha tayari wamerudi uwanjani kuendelea na mazoezi kuwawinda Jwaneng Galaxy ya Botswana. Majembe hayo ya…