News

Browse all posts in this category.

Post thumbnail placeholder
News

MKUDE JONAS, MORRISON WAPIGWA BITI SIMBA NA GOMES

 UNAAMBIWA! Kocha Mkuu wa Simba, Didier Gomes Da Rosa, amewataka nyota wake wote waliopo kwenye mapumziko mafupi kutojisahau kufanya mazoezi binafsi wakiwemo Ousmane Sakho na Bernard Morrison, huku akisema atakayerejea mazoezini hana utimamu wa mwili atakiona…

Sep 4, 2021
Post thumbnail placeholder
News

KIUNGO SIMBA AIBUKIA MTIBWA SUGAR

 UONGOZI wa Mtibwa Sugar umemtambulisha rasmi nyota Said Ndemla kuwa mali yao kwa msimu mmoja. Ni usajili wa mkopo kwa mzawa huyo…

Sep 4, 2021
Post thumbnail placeholder
News

MRITHI WA ANTONIO NUGAZ KUTANGAZWA YANGA

BAADA ya kuondolewa Yanga Ofisa Mhamasishaji, Antonio Nugaz, uongozi wa klabu hiyo umefunguka kuwa mrithi wa nafasi hiyo atatangazwa hivi karibuni. Yanga wamethibitisha kuachana na Nugaz katika nafasi ya Uhamasishaji…

Sep 4, 2021
Post thumbnail placeholder
News

FEI TOTO AULA NDANI YA YANGA

 KOCHA Mkuu wa Yanga, Nassredine Nabi amefunguka kuwa hana mpango wa kumhamisha Feisal Salum katika eneo la kiungo mshambuliaji kutokana na kufanya vizuri zaidi katika eneo hilo. Feisal…

Sep 4, 2021