News

Browse all posts in this category.

Post thumbnail placeholder
News

SENZO ACHIMBA MKWARA MZITO, FURAHA KURUDI YANGA

 BAADA ya kutangazwa kuwa Ofisa Mtendaji Mkuu wa Yanga, Senzo Mazingiza amechimba mkwara mzito kuwa ni lazima kikosi hicho kifanye makubwa, na kukamilisha malengo ambayo wamejiwekea ikiwemo kutwaa ubingwa ulio kwa Simba.…

Sep 6, 2021
Post thumbnail placeholder
News

LINGARD AGOMEA KURUDI MANCHESTER UNITED

​​Jesse Lingard imeripotiwa kuwa amewaambia  West Ham kwamba hana mpango wa kurudi katika timu yake ya zamani Manchester United. Sababu kubwa inayomfanya…

Sep 5, 2021
Post thumbnail placeholder
News

SIMBA KUIBUKIA ARUSHA

 KIKOSI cha Simba kinatarajiwa kuibukia Arusha leo kwa ajili ya maandalizi ya msimu wa 2021/22 unaotarajiwa kuanza Septemba 25. Septemba 25, Simba…

Sep 5, 2021
Post thumbnail placeholder
News

SAMATTA KUMBE UMRI TATIZO

 BABA mzazi wa mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta, mzee Ally Samatta amefichua kuwa moja ya sababu inayopelekea kijana wake kushindwa kudumu kwenye timu alizojiunga nazo kwenye kipindi cha karibuni ni…

Sep 5, 2021
Post thumbnail placeholder
News

MIRAJ ATHUMAN MALI YA KMC

KIUNGO mshambuliaji Miraj Athuman ambaye alikuwa nyota wa kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes sasa ni rasmi kuwa atakuwa…

Sep 5, 2021