KIUNGO WA SIMBA AKATALIWA SINGIDA BIG STARS…WADAI HAYUPO KWENYE MAFAILI…
Klabu ya Singida Big Stars, imekanusha tetesi za kuwa kwenye mpango wa kumsajili Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Kenya Harrison Mwendwa, ambaye aliwasili…
Browse all posts in this category.
Klabu ya Singida Big Stars, imekanusha tetesi za kuwa kwenye mpango wa kumsajili Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Kenya Harrison Mwendwa, ambaye aliwasili…
Mshambuliaji kutoka Jamhuri ya Afrika ya Kati Ceser Manzoki amewaaga rasmi viongozi, wachezaji na mashabiki wa klabu bingwa nchini Uganda Vipers SC.…
Siku chache baada ya Shirikisho la Kimataifa la Soka (FIFA) kuifungia Biashara United kufanya usajili katika madirisha mawili ya uhamisho wa wachezaji…
Baada ya Yanga kunyakua Ubingwa wake wa 28, na juzi kukabidhiwa rasmi Kombe lake la Ligi Msimu wa 2021/2022 ambao kwa miaka…
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani FIFA, Gianni Infantino, ameipongeza Klabu ya Yanga kwa kunyakua Ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania…
Meneja wa Habari na Mawasilino wa Simba SC Ahmed Ally amewaomba radhi Mashabiki na Wanachama wa klabu hiyo, kufuatia kikosi chao kupoteza…
Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Senegal Pape Ousmane Sakho amewashukuru Mashabiki wa Klabu ya Simba SC, kwa upendo waliomuonesha wakati wote tangu alipojiunga…
Mwanasheria wa Klabu ya Young Africans Patrick Simon, amesema kuanzia Juni 30 klabu hiyo itaendelea na mpango wa kuwatambulisha wachezaji wapya wa…
Uongozi wa Geita Gold uko kwenye mazungumzo na beki wa pembeni David Kameta ‘Duchu’ kwa ajili ya kumsajili moja kwa moja, baada…
Meneja wa Habari na Mawasilino wa Simba SC Ahmed Ally ameipiga kijembe Young Africans, kufuatia mapokezi makubwa iliyoyapata jana Jumapili (Juni 26),…
Mlinda Lango Ramadhan Kabwili amewaaga Mashabiki na Wanachama wa Klabu ya Young Africans, baada ya kumaliza mkataba wake na klabu hiyo, iliyotwaa…
Kocha wa zamani wa Alh Ahly, Pitso Mosimane kupitia ukurasa wa Twitter akiwa anajibu maswali na maoni ya wafuasi wake, mmoja wao…