KUELEKEA MECHI NA WASAUZI…’TSHABALALA’ AFUNGUKA WATAKAPOTOA NGUVU ZA USHINDI…
Nahodha Msaidizi wa Simba, Mohamed Hussein ‘Tshabalala’ amewatuliza mashabiki na kuwasisitiza kwamba wanajua wanachopaswa kufanya Jumapili dhidi ya Orlando Pirates. Tshabalala amekuwa…