YANGA KUMEKUCHA…WAZIDI KUMIMINA MIZAWADI YA ‘KRISMASI BOXING DAY’..SAFARI HII KICHEKO TU..
WAKATI watu wakiwa bize na siku ya zawadi za sikukuu ya christmas ‘Boxing Day’ Yanga imewapa mashabiki zake ya ushindi dhidi ya…
Browse all posts in this category.
WAKATI watu wakiwa bize na siku ya zawadi za sikukuu ya christmas ‘Boxing Day’ Yanga imewapa mashabiki zake ya ushindi dhidi ya…
HAKUNA siri tena. Unaambiwa mabosi wa Simba na Polisi Tanzania wapo hatua nzuri ya kubadilishana makipa, Metacha Mnata akiingia Msimbazi, huku Beno…
HATIMAYE dili la mshambuliaji Jean Marc Makusu kutua Yanga limeingiwa na doa mara baada ya uongozi wa timu hiyo kugundua kuwa mshambuliaji…
MTU mzima akivukwa nguo huchutama! Ndivyo unavyoweza kusema kwa Kocha Mkuu wa Simba, Pablo Franco baada ya kuwaangukia wana Simba na mashabiki…
WAKATI kukiwepo na tetesi za Yanga kumuhitaji straika Chrispin Ngushi, mabosi wa straika huyo Mbeya Kwanza wameibuka na kubainisha kuwa wapo tayari…
USAJILI mpya wa kiungo mshambuliaji wa Yanga anayetoka Azam FC, Salum Aboubakar ‘Sure Boy’ umeigharimu Yanga jumla ya Sh Mil 80 kwa…
PASCAL Wawa, beki wa kati wa Simba, ameweka wazi kuwa hakuna tofauti kati yake na Kocha Mkuu wa timu hiyo Pablo Franco.…
MSHAMBULIAJI Deo Kanda raia wa Congo amemalizana na timu kongwe ndani ya ardhi ya Tanzania, Mtibwa Sugar kwa ajili ya kutoa huduma…
SIMBA na Yanga zinachuana katika msimamo wa Ligi Kuu Bara iliyoingia raundi ya 10, kila mmoja ikiupigia hesabu ubingwa wa msimu, lakini…
ZAWADI ya Krismasi kwa mashabiki wa Yanga ni saini ya kiungo wa mpira Salum Aboubhakari ambaye alikuwa anakipiga ndani ya Azam FC.…
MASTAA wa Yanga wanaendelea kupigishwa tizi la nguvu kambini wakijiandaa kuvaana na Biashara United leo Jumapili, lakini huku nyuma kiungo mshambuliaji wa…
PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa kilichotokea kwenye mchezo wa ligi dhidi ya KMC ni kutoelewana na mwamuzi. Juzi Pablo…