Ahmed Ally Afunguka Baada ya Kipigo cha Yanga Ngao ya Jamii: “Safari Bado Ndefu”
Uongozi wa klabu ya Simba SC kupitia kwa Meneja wa Habari na Mawasiliano, Ahmed Ally, umewataka mashabiki na wanachama wa klabu hiyo…
Fuatilia habari zote mpya za <strong>Simba SC</strong>, kuanzia usajili, kikosi, ratiba na matokeo ya mechi hadi taarifa za wachezaji, makocha na mashindano. Soka la Bongo inakuletea habari za <strong>Simba SC</strong> kila siku kutoka Tanzania na mashindano ya Afrika.
Uongozi wa klabu ya Simba SC kupitia kwa Meneja wa Habari na Mawasiliano, Ahmed Ally, umewataka mashabiki na wanachama wa klabu hiyo…
Nchi inasimama! Itakapotimia saa 2:30 usiku wa leo, macho na masikio ya wapenda soka wote yatakuwa katika Uwanja wa Amaan, Zanzibar, ambapo…
Uongozi wa Simba SC umeamua kugeuza machungu ya kukosa saini ya mshambuliaji Selemani Mwalimu kuwa fursa ya kusajili mashine mpya ya mabao,…
UONGOZI wa Simba SC kupitia Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Crescentius Magori, umeweka wazi sababu zilizowafanya wajitoe kwenye mbio za kumsajili mshambuliaji…
MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC, Crescentius Magori, amefunguka na kuweka wazi siri kubwa inayoidhihirisha klabu hiyo kuwa mfalme kwenye…
ZANZIBAR: Kocha Mkuu wa Simba SC, Steve Barker, ametuma ujumbe mzito kwa watani wao wa jadi Yanga SC, akisema kikosi chake kipo…
Mzabuni wa klabu ya Simba SC, Joseph Rwegasira maarufu kama ‘Jayrutty’, amewatuliza mashabiki na wanachama wa klabu hiyo kufuatia hatua ya wapinzani…
Sakata la aliyekuwa mshambuliaji wa Simba SC, Selema Mwalimu, kutambulishwa na klabu nyingine limechukua sura mpya na kuibua taharuki kubwa miongoni mwa…
MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba SC, Crescentius Magori, amefunguka kuelekea mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya watani wao wa…
JAYRUTTY AWASHA MOTO SIMBA: Atangaza Mbinu Mpya ya Kumpata ‘X-Factor’ Kabla ya Usajili Kufungwa! Mzabuni mashuhuri wa Simba SC, Joseph Rwegasira maarufu…
Mshambuliaji hatari, Selemani Mwalimu, yuko njiani kurejea nchini kujiunga rasmi na kikosi cha Simba SC, huku safari yake ya kurejea Bongo ikipitia…
Uongozi wa klabu ya Yanga SC umezidi kuwasha moto na kuongeza taharuki kwa mashabiki wao baada ya kutangaza kuwa kazi ya kusajili…