YANGA WASHINDWA KUMZUIA MAYELE, ATIMKIA TIMU HII USAJILI WAKE KUFURU
Baada ya juhudi za kumshawishi kuendelea kuitumikia timu yao kukwama, uongozi wa Klabu ya Young Africans, umefikia makubaliano ya pamoja kumweka sokoni…
Browse all posts in this category.
Baada ya juhudi za kumshawishi kuendelea kuitumikia timu yao kukwama, uongozi wa Klabu ya Young Africans, umefikia makubaliano ya pamoja kumweka sokoni…
Uongozi wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans leo Jumanne (Julai 11) ulitarajiwa kumpokea beki wa kulia wa ASEC Mimosas ya…
Beki wa timu ya taifa ya Uganda (Uganda Cranes) Gift Fred amejiunga na Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga SC. Beki…
Uongozi wa Young Africans umesitiza juu ya kumalizana na wachezaji wote ambao walikuwa wakiwahitaji, huku wakiweka wazi kuwa hakuna mchezaji mwingine yeyote…
Wekundu wa Msimbazi Simba wapo kwenye mazungumzo na viungo wakabaji watatu kutoka nje ya nchi kwa ajili ya kutibu tatizo la nafasi…
Rasmi beki wa kati wa Cotton Sports ya nchini Cameroon, Che Fondoh Malone anakuja kuiboresha safu ya ulinzi ya Simba SC katika…
Uongozi wa Simba SC umeweka wazi kuwa hawatoshindwa kumsajili mchezaji yeyote watakayemtaka kulingana na thamani yake kutokana uwepo wa mwekezaji na Rais…
Al-Ahly ya Misri imeripotiwa kuwa katika mpango wa kumsajili nahodha wa timu ya Taifa, Taifa Stars Mbwana Samatta wakati huu wa usajili…
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa unakuja mtikisiko kwenye suala la usajili kutokana na mipango makini waliyonayo. Chini ya Kocha Mkuu Nasreddine…
Uongozi wa Simba SC umemaliza hatua ya awali ya kutangaza Wachezaji wanaoachwa kwa ajili ya msimu ujao wa mashindano, na sasa inakuja…
Uongozi wa Simba SC umefunguka kwa kina ishu la Kiungo Mkabaji kutoka Burkina Faso Ismael Sawadogo, ambaye anadaiwa kuugomea Uongozi wa Klabu…
MUDA wowote kuanzia sasa zinaweza kusikia habari za kushtua. Jonas Mkude yuko kwenye mazungumzo na Yanga na atasaini mkataba wa kazi. Mkude…