VIDEO: MWANAMAMA HAWA MGOMBEA URAIS, ABAINISHA KUKUBALIANA NA KILA KITU
HUYU hapa Hawa, mgombea Urais wa Shirikisho la Soka Tanzania ameweka wazi kwamba kitakachotokea atakubaliana nacho baada ya kurejesha fomu.
Browse all posts in this category.
HUYU hapa Hawa, mgombea Urais wa Shirikisho la Soka Tanzania ameweka wazi kwamba kitakachotokea atakubaliana nacho baada ya kurejesha fomu.
WAZEE wa Yanga wamebainisha kuwa Klabu ya Yanga imeonewa na mamlaka kwa muda wa miaka miwili huku wakibainisha sababu zinazowafanya wanyanyaswe.
FREDWAA mtangazaji wa Clouds ametangulia mbele za haki kwa kupata ajali kwa mujibu wa taarifa za awali zilizotolewa leo Juni 12.
OSCAR Oscar ambaye ni mchambuzi wa masuala ya michezo Bongo pia akiwa ni mtangazaji wa E FM amesema kuwa anaamini kwamba ametimiza…
TIMU ya Taifa ya Malawi imewasili Dar kwa ajili ya maandalizi ya mwisho ya mchezo wao dhidi ya timu ya taifa ya…
FLAVIANA Matata ambaye ni mwanafamilia ya michezo ndani ya ardhi ya Tanzania akiwa ni shabiki namba moja wa timu ya taifa ya…
NYOTA wa Simba, Ibrahim Ajibu anatajwa kuwa yupo kwenye hesabu za Yanga ambapo tetesi zinaeleza kuwa amemalizana na mabosi wake hao wa…
JIMMY Kindoki, mdau wa masuala ya michezo Bongo leo Juni 11 amechukua fomu makao makuu ya Shirikisho la Soka Tanzania, TFF kwa…
NYOTA wa kikosi cha Simba, Clatous Chama baada ya kupata pigo la kuondokewa na ubavu wake wa kushoto hivi karibuni na kukamilisha…
YANGA yaipiga bao Simba kwa beki Djuma Shaban wa AS Vita,Taifa Stars kamili kuivaa Malawi kwenye mchezo wa kirafiki
KUBENEA leo Juni 11 amewasili makao makuu ya Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) kuchukua fomu kwa ajili ya kugombea nafasi ya urais…
NYOTA wa Ruvu Shooting ambaye kwa sasa yupo kambi ya timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Edward Manyama ana uwezo wa…