Yanga SC

Fuatilia habari zote mpya za <strong>Yanga SC</strong>, kuanzia usajili, kikosi, ratiba na matokeo ya mechi hadi taarifa za wachezaji, makocha na mashindano. Soka la Bongo inakuletea taarifa za <strong>Yanga SC</strong> kila siku kutoka Tanzania na mashindano ya Afrika.

Post thumbnail placeholder
Yanga SC

YANGA WAWEKEWA MKWANJA WA MAANA KWA AJILI YA SIMBA

BAADA ya GSM kukubali kufanya kazi na aliyekuwa Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji, sasa mabosi hao wameelekeza nguvu kubwa katika mchezo dhidi ya Simba utakaofanyika kesho Jumamosi, Uwanja wa Mkapa jijini Dar.…

Jul 2, 2021
Post thumbnail placeholder
Yanga SC

YANGA YATUMA UJUMBE KWA SIMBA

 UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kwamba kuelekea mchezo wao wa kesho dhidi ya Simba wapo tayari na wanaamini kwamba watapata matokeo chanya.…

Jul 2, 2021
Post thumbnail placeholder
Yanga SC

GSM YAKUBALI KUFANYA KAZI NA MANJI NDANI YA YANGA

WADHAMINI wa Yanga Kampuni ya GSM rasmi imekubali kufanya kazi pamoja na aliyekuwa Mwenyekiti wa klabu hiyo, Yusuf Manji katika kuelekea msimu ujao. Hiyo ikiwa ni siku chache tangu Manji ahudhurie…

Jul 2, 2021