Yanga SC

Fuatilia habari zote mpya za <strong>Yanga SC</strong>, kuanzia usajili, kikosi, ratiba na matokeo ya mechi hadi taarifa za wachezaji, makocha na mashindano. Soka la Bongo inakuletea taarifa za <strong>Yanga SC</strong> kila siku kutoka Tanzania na mashindano ya Afrika.

Post thumbnail placeholder
Yanga SC

YANGA YATENGA BILIONI 8.1 ZA CAF

 KLABU ya Yanga, imetenga kitita cha Sh bilioni 8.1 ili kuhakikisha msimu ujao timu yao inafanya vizuri kwenye michuano watakayoshiriki ikiwemo michuano ya kimataifa inayosimamiwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF).…

Jun 30, 2021
Post thumbnail placeholder
Yanga SC

NABI AMPATA MBADALA WA METACHA MNATA YANGA

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amemjumuisha kikosini kipa wa timu ya vijana, Geofrey Magaigwa ili kuchukua nafasi ya Metacha Mnata ambaye amesimamishwa kutokana na suala la utovu wa nidhamu.   Yanga U20, ilifanikiwa kufanya vizuri kwenye Ligi ya Vijana…

Jun 29, 2021
Post thumbnail placeholder
Yanga SC

MANJI – NIMEACHA ROHO YANGU JANGWANI

  Mfadhili na mwenyekiti wa zamani wa Yanga, Yusuf Manji amewambia wana Yanga kuwa amerudi nyumbani. Manji aliombwa na wanachama apewe nafasi…

Jun 27, 2021