MKUTANO MKUU YANGA: KIKWETE NDANI YA NYUMBA
ALIYEKUWA Rais wa awamu ya nne wa Tanzania, Jakaya Kikwete amewasili katika mkutano mkuu wa Yanga saa 11:59 akiwa ndiye mgeni rasmi…
Fuatilia habari zote mpya za <strong>Yanga SC</strong>, kuanzia usajili, kikosi, ratiba na matokeo ya mechi hadi taarifa za wachezaji, makocha na mashindano. Soka la Bongo inakuletea taarifa za <strong>Yanga SC</strong> kila siku kutoka Tanzania na mashindano ya Afrika.
ALIYEKUWA Rais wa awamu ya nne wa Tanzania, Jakaya Kikwete amewasili katika mkutano mkuu wa Yanga saa 11:59 akiwa ndiye mgeni rasmi…
LEO Juni 27 Klabu ya Yanga imepanga kufanya mkutano mkuu wa kawaida wenye ajenda 12 zilizoanishwa na Mwenyekiti wa Klabu hiyo, Mshindo…
UONGOZI wa Yanga umerejesha shukrani kwa mashabiki wake ambao walijitokeza kwa wingi jana Juni 25, Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi kwenye mchezo…
BAADA ya kutoka kifungoni, Makamu Mwenyekiti wa Yanga, Frederick Mwakalebela ameibuka na kutamka kuwa mapambano yanaendelea. Mwakalebela sasa yupo huru kuendelea kuitumikia klabu yake ya Yanga baada ya adhabu…
KATIKA kuhakikisha wanakisuka kikosi chao, Yanga itatumia kitita cha Sh bilioni 1.1 kufanikisha usajili wa wachezaji saba tishio katika msimu ujao.Yanga imepanga kufanya kufuru ya usajili katika msimu ujao. Timu…
YACOUBA Sogne mshambuliaji wa kikosi cha Yanga jana aliendelea pale alipoishia kwenye mchezo wake wa Kombe la Shirikisho baada ya kufunga bao…
DILI la usajili wa mshambuliaji wa Horoya AC ya Guinea, Heritier Makambo limekamilika kwa asilimia 70 na kilichobakia ni kwa mabosi wa GSM kuifuata timu yake hiyo kwa ajili…
BAADA ya Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) kupitia kikao chao cha Juni 24,2020…
KIKOSI cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nassredine Nabi leo Juni 25 kimeibuka na ushindi wa baoa 1-0 mbele ya Biashara United…
KIKOSI cha Yanga kitakachoanza leo Juni 25 dhidi ya Biashara United, Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi hatua ya nusu fainali. Hiki hapa…
YANGA imeamua na safari hii haina utani kabisa katika usajili wa wachezaji hasa wa kimataifa kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao ambapo timu hiyo inatarajiwa kushiriki michuano ya kimataifa. Tayari Yanga…
KWA kiasi fulani, taarifa za aliyekuwa Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji, kukosekana katika Mkutano Mkuu wa klabu hiyo uliopangwa kufanyika Jumapili hii, zinaweza kuwa mbaya kwa wapenzi na wanachama…