Yanga SC

Fuatilia habari zote mpya za <strong>Yanga SC</strong>, kuanzia usajili, kikosi, ratiba na matokeo ya mechi hadi taarifa za wachezaji, makocha na mashindano. Soka la Bongo inakuletea taarifa za <strong>Yanga SC</strong> kila siku kutoka Tanzania na mashindano ya Afrika.

Post thumbnail placeholder
Yanga SC

YANGA WAZINDUA TAWI TABORA

 LEO Juni 23 Uongozi wa Yanga umezindua tawi jipya liitwalo Yanga Kwanza. Taarifa iliyotolewa kupitia ukurasa wa Instagram wa Yanga umeeleza kuwa:”Kwa…

Jun 23, 2021
Post thumbnail placeholder
Yanga SC

WINGA DODOMA JIJI NI SUALA LA MUDA TU KUTUA YANGA

  ALLY Mohamed ambaye ni meneja wa winga wa Dodoma Jiji FC, Dickson Ambundo, amefunguka kuwa mteja wake huyo atakuwa mchezaji rasmi wa Yanga siku za hivi karibuni kwa kuwa kila…

Jun 23, 2021
Post thumbnail placeholder
Yanga SC

YANGA YA NABI KUSAJILI NYOTA NANE WA KAZI

JUMLA ya majina nane wamekabidhiwa Kamati ya Mashindano ya Yanga iliyo chini ya Makamu Mwenyekiti, Injinia Hersi Said, ili kushusha majembe ya kazi kuelekea msimu ujao.  …

Jun 23, 2021
Post thumbnail placeholder
Yanga SC

YACOUBA APEWA TANO NA KOCHA YANGA

 BENCHI la Ufundi la Yanga linaloongozwa na Kocha Mkuu Mtunisia, Nasreddine Nabi, limefichua kwamba lilikoshwa na aina ya wachezaji wao Yacouba Songne na Waziri Junior kwa kuwa walifanyia kazi kile walichowaelekeza.   Juzi…

Jun 22, 2021
Post thumbnail placeholder
Yanga SC

YANGA WATUMA SALAMU BIASHARA UNITED

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kwamba kuelekea kwenye mchezo wao Juni 25 dhidi ya Biashara United watapambana kupata ushindi. Mchezo huo ni…

Jun 22, 2021
Post thumbnail placeholder
Yanga SC

KIPA METACHA MNATA ALICHEZA YANGA BILA KULIPWA

 HIVI sasa kipa wa Yanga, Metacha Metacha hayupo kwenye kikosi hicho baada ya kusimamishwa kutokana na kuonyesha ishara isiyofaa kwa mashabiki wakati timu yake ikiwashinda Ruvu Shooting 3-2, kwenye Uwanja wa…

Jun 22, 2021