MUSONDA ALALAMIKA RATIBA KUWA NGUMU…ANA UCHU ILE MBAYA…AMEZUNGUMZA HAYA
MSHAMBULIAJI wa Yanga, Kenedy Musonda amesisitiza kwamba kuna moto unakuja kimataifa. Amesema walishafanya mengi ndani ya Tanzania sasa wanataka kutisha kimataifa haswa…
Browse all posts in this category.
MSHAMBULIAJI wa Yanga, Kenedy Musonda amesisitiza kwamba kuna moto unakuja kimataifa. Amesema walishafanya mengi ndani ya Tanzania sasa wanataka kutisha kimataifa haswa…
BEKI Pascal Wawa wa Singida Big Stars ameweka wazi kuwa mmoja wa washambuliaji ambao anawaona wana kitu kikubwa kwenye Ligi Kuu Bara…
Mshambuliaji kinara wa Yanga, Fiston Kalala Mayele amesema kuwa alikuwa akitamani kukutana na timu ya Rivers United ya Nigeria katika hatua ya…
Nimecheki game baadhi za Rivers United kwenye. Kama ile game yao na motema Pemba ile ambayo walifunga moja. Pia nilicheki game yao…
Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amefunguka kwamba wana timu ambayo inaweza kupambana na yoyote kati ya hizo lakini akasema ungekuwa uwezo…
Droo ya hatua ya robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho imemalizika nchini Misri kwa timu zinazowakilisha Tanzania Simba…
BAADA ya misimu miwili wazawa kuwapiku wageni kunyakua tuzo ya mfungaji bora wa Ligi Kuu Bara, awamu hii ni kama nyota njema…
FARID Mussa ndiye alikuwa shujaa akitokea benchi na kuifungia bao la ushindi Yanga dhidi ya TP Mazembe huku akisema ukuta wa wapinzani…
BAADA ya ushindi wa bao 1-0 walioupata Yanga, Kocha msaidizi wa timu hiyo Cedrick Kaze amesema wamefanikiwa kuingia hatua ya robo fainali…
YANGA ilikuwa jijini Lubumbashi na juzi usiku walitakiwa kurejea nchini baada ya kumalizana na wenyeji wao TP Mazembe katika mchezo wa kukamilisha…
YANGA imemtuma tena Ofisa Mtendaji wao Mkuu Andre Mtine kufuatilia droo ya Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika sambamba na Ligi…
KIUNGO wa Ihefu, Papy Kabamba Tshishimbi huenda asirejee tena uwanjani katika michezo yote iliyosalia msimu huu baada ya kutakiwa kupumzika kufuatia kufanyiwa…