Ushindi mkubwa katika ulimwengu wa michezo unaweza kutokea wakati usiotarajiwa, na hiyo imethibitishwa na mshindi wetu wa hivi karibuni kutoka Meridianbet.
Kwa dau dogo tu la TZS 3,055/=, alifanikiwa kubadilisha maisha yake kwa kushinda jumla ya TZS 14,996,310/= Hii ni...
KARIAKOO Dabi inatarajiwa kuchezwa mapema ikiwa ni ufunguzi wa msimu mpya wa 2025/26 kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii (Community Shield) itakayowakutanisha Yanga SC na Simba SC, Septemba 16, 2025 jijini Dar.
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limethibitisha...
JUMANNE ya Agosti 12, 2025, nyota wa Azam FC, Feisal Salum 'Fei Toto' alisaini mkataba wa nyongeza wa mwaka mmoja utakaomfanya asalie Chamazi hadi 2027. Ilikuwa ghafla sana kwa uongozi wa Azam kwani hawakutegemea jambo hilo kutolea muda huo.
Fei...
JUZI jioni Simba ilimtambulisha rasmi beki raia wa Guinea, Naby Camara, lakini mapema mshambuliaji mpya wa timu hiyo, Jonathan Sowah ametoa msimamo mzito, huku akimtaja kocha Fadlu Davids.
Sowah aliyesajiliwa na Simba hivi karibuni akitokea Singida Black Stars aliyoitumikia kuanzia...
UONGOZI wa Simba SC umetaja siku rasmi itakayokuwa ni maalumu kwa uzinduzi wa uzi mpya wa timu hiyo kuelekea msimu mpya wa 2025/26 unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa.
Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba SC ameweka...
KLABU ya Simba imeonekana safari hii haina masihara kwenye usajili baada ya kubainisha kuwa inatarajia kuwatangaza wachezaji wengine wapya watatu wa kigeni ambao watafunga masuala ya usajili kuelekea msimu ujao wa mashindano.
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu hiyo, Ahmed...
KLABU ya Yanga imesema imeridhishwa na kikosi chao cha msimu mpya ujao wa mashindano na kwamba ina matumaini makubwa ya kubakiza makombe yao yote iliyonayo na kufanya vema kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika inayotarajiwa kuanza katikati ya mwezi ujao.
Wakizungumza...
Mashabiki wa kasino mtandaoni, Meridianbet inakuletea habari njema. Muda umewadia wa Spinoleague 2025, shindano la slot la kipekee litakalokuweka wewe na wachezaji wengine kwenye mbio za ushindi na zawadi za kihistoria.
Kuanzia sasa hadi 10 Septemba 2025, kupitia Meridianbet Tanzania,...
Jumatano ya leo imekuja kivingine na wakali wa ubashiri kwani nafasi ya wewe kuondoka na mkwanja ni kubwa sana. Mechi nyingi za kufuzu ligi ya mabingwa zinaendelea hivyo ingia kwa wakali wa ubashiri ubeti sasa.
SUPER CUP kule Saudi ArabiaΒ ...
Meridianbet wamezindua promosheni ya kusisimua ya kasino ya mtandaoni inayoitwa Shindano la Expanse, ambapo kila siku wachezaji wana nafasi ya kuwa matajiri. Shindano hili linawapa wapenzi wa kasino fursa ya kujishindia zawadi za kuvutia, ikiwa ni pamoja na TZS...