VURUGU walizoanza nazo mabingwa wa kihistoria wa Ligi Kuu Bara, Yanga katika kutangaza majembe mapya, zimeanza kushtua.
Hiyo ni baada ya kumtambulisha kiungo Moussa Balla Conte, raia wa Guinea ambaye pia watani wao wa jadi, Simba walikuwa wakimpigia hesabu kali.
Kabla...
BEKI wa Simba, Mohammed Hussein 'Tshabalala' sio tu kumaliza mkataba wake kikosini hapo, pia ameiaga rasmi akionyesha hataendelea na Wekundu hao, huku watani zao wa jadi, Yanga wakitajwa kumalizana naye.
Kupitia akaunti yake ya Instagram, Tshabalala ambaye alikuwa nahodha wa...
LICHA ya nguvu ya ziada iliyotumiwa na mabosi wa Simba kumshawishi beki na nahodha aliyemaliza mkataba wake ndani ya kikosi hicho, Mohammed Hussein ‘Tshabalala’ kumshawishi abaki, lakini imeshindikana kufuatia mwenyewe kuaga jioni ya jana Julai 19, 2025.
Baada ya uwepo...
Kampuni ya Puma Energy Tanzania leo imezindua rasmi kampeni kabambe ya miezi mitatu inayoitwa “Safari ya Uhakika na Oil za Puma”, ikiwa ni sehemu ya mwendelezo wa kampeni yao ya kitaifa ya “Twende Tanzania”. Kampeni hii inalenga kuhamasisha matumizi...
Hii si ya kukosa kwa wewe mdau wa kasino mtandaoni, Meridianbet Tanzania imezindua qualifiers za Festival Malta 2025, tukio la poker ambalo hupimwa na jukwaa la Playtech Poker. Qualifiers zitauwasha moto kutoka Julai 14 hadi Septemba 8, 2025, huku zikiwa zinafanyika kila...
KLABU ya Yanga imesema tayari imempata Kocha Mkuu atakayeifundisha timu hiyo kwa msimu ujao wa mashindano, lakini haitomtangaza hadi hapo itakapomaliza zoezi la usajili ambalo yeye ndio analisimamia.
Ofisa Habari wa Klabu hiyo, Ali Kamwe, alisema kazi iliyokuwepo sasa ni...
Klabu ya Simba imetajwa kuwa mbioni kuinasa saini ya beki wa kushoto wa JKT Tanzania, Karim Mfaume Bakari, ili kumsaidia Mohamed Hussein 'Tshabalala' msimu ujao wa mashindano.
Uhitaji wa beki huyo unaendeleza mpango wa klabu hiyo kutaka kuchukua wachezaji kadhaa...
MOJA ya kazi iliyofanywa na kikao cha Bodi ya Wakurugenzi pamoja na Bodi ya Ushauri chini ya Mwenyekiti, Mohamed Dewji, hivi karibuni ni kupitia ripoti ya Kocha Mkuu, Fadlu Davids, kuwapa watu majukumu ya kusaka wachezaji watakaojaza maeneo yaliyoainishwa...
KIPYENGA cha usajili tayari kimepulizwa. Kikimaanisha kwamba klabu mbalimbali zimeingia sokoni kusaka nguvu mpya tayari kwa msimu ujao wa michuano mbalimbali.
Yanga, Simba pamoja na Azam na Singida Black Stars ni miongoni mwa timu zilizowekeza nguvu kubwa kwenye usajili zikiangalia...
Msimu huu wa Kombe la Dunia la Klabu ulijaa matukio ya kusisimua, lakini sasa ni muda wa pazia kufungwa kwa kishindo. Chelsea ya England na Paris Saint-Germain (PSG) ya Ufaransa, watakutana usiku wa leo kwenye fainali ya kutafuta mfalme...