Home Blog Page 24
Watu makini wanaelewa thamani ya kila shilingi. Na sasa, Meridianbet inakuletea njia ya kuongeza kila unachoweka. Kwa kutumia Halopesa Push kuweka pesa kwenye akaunti yako ya Meridianbet, utapokea bonus ya 20% kila siku, inayoweza fika hadi TZS 50,000 kwa...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi ameizawadia Klabu ya Yanga shilingi milioni 100, kwa kutambua ushindi na mafanikio makubwa waliopata katika msimu wa mwaka 2024/2025. Rais Dk Mwinyi ameyasema hayo leo Juni 30,...
KIKOSI cha Yanga usiku wa jana kilikuwa kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, visiwani Zanzibar kumalizana na Singida Black Stars katika mechi ya fainali ya Kombe la Shirikisho, ikiwa ni siku chache tu tangu itoke kubeba taji la Ligi...
DUKE Abuya na Clement Mzize, wamekata kiu ya mashabiki wa Yanga baada ya kufanikisha kutwaa Kombe la Shirikisho (FA) katika mchezo wa fainali uliofanyikwa Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar. Nyota hao wawili ndio waliotikisa nyavu za Singida Black Stars...
WAKATI mashabiki na wapenzi wa Simba wakiendelea kujiuliza kilichowakuta katika pambano la Dabi ya Kariakoo kwa kulazwa mabao 2-0 na Yanga, kuna taarifa ya kushtua ambayo huenda wasingependa kuisikia kuhusu kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Ellie Mpanzu. Mpanzu ambaye ameibuka...
Wachezaji wa mchezo maarufu wa Super Heli sasa wana nafasi ya kipekee ya kujishindia simu mpya ya kisasa aina ya Samsung A25, ikiwa ni promosheni ya kipekee iliyoanzishwa na Meridianbet, kampuni inayoongoza kwa michezo ya kubashiri na kasino mtandaoni...
Mashindano ya Era of 1000s si tu mashindano ya kawaida bali ni mashindano ambayo yamekuja kwaajili ya kugeuza maisha yako wewe mteja wa Meridianbet. Utageuzaje maisha yako?. Ni kwa kucheza michezo mbalimbali ambayo inapatikana kwenye promosheni hii kwa dau...
Michuano ya kombe la Dunia kwa vilabu inazidi kuendelea ambapo Meridianbet kila siku wao wanatafuta namna pekee ya wewe kuweza kuondoka na mpunga wa maana kabisa na mechi hizi. Bashiri kwa GG&3+ mechi ya Juventus vs Man City  ushinde...
Meridianbet inakupa nafasi ya kipekee ya kubadili burudani kuwa ushindi kupitia promosheni yao mpya ya Super Heli, ambapo unaweza kuibuka na zawadi kabambe ya simu mpya na ya kisasa aina ya Samsung A25. Kuanzia tarehe 1 hadi 30 Juni, Meridianbet...
YANGA wakati wanaseherekea ubingwa na kumfunga mtani wake Simba leo hii, imeendelea na akili ya kukiboresha kikosi na kule kambini kuna mido wa kazi amefichwa akijifua taratibu. Kiungo huyo mchezeshaji ambaye yupo kambi ya Yanga ni Mohamed Doumbia raia wa...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS