Home Blog Page 2483
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Betika, lipo mtaani jipatie nakala yako BURE kabisa
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumatano, lipo mtaani nafasi ya kushinda ndinga ni yako
GERSON Fraga, kiungo wa Simba amesema kuwa wamepigwa stop kula kuku ila akipata muda huwa anafanya hivyo kwa kuwa ni vitu anavyovipenda.Fraga, raia wa Brazil ametupia mabao matatu kwenye Ligi Kuu Bara kati ya mabao 63 ambayo yamefungwa na...
RELIANTS Lusajo, nahodha wa Namungo amesema kuwa anaamini akitua ndani ya Yanga ataendelea kutupia kama kawaida kutokana na uwezo alionao.Lusajo amekuwa akihusishwa kutua Yanga kuongeza makali ya safu ya ushambuliaji iliyo chini ya David Molinga mwenye mabao nane ya...
PAUL Nonga, nahodha wa Lipuli amesema kuwa amepata dili la kujiunga na moja ya timu inayoshiriki Ligi Kuu nchini Malaysia mambo yakiwa sawa atasepa Bongo.Nonga anayekipiga Lipuli amekuwa kwenye ubora wake msimu huu ambapo ni miongoni mwa wazawa wanaocheka...
WILLIAM Lucian, ‘Gallas’ beki wa kulia wa Polisi Tanzania amesema kuwa anaamini kuwa anaweza kuondoka Bongo iwapo atapata nafasi ya kucheza nje ya nchi.Polisi Tanzania imecheza mechi 29 ina pointi 45 imefunga mabao 29 na safu ya ulinzi imeruhusu...
UONGOZI wa Simba umesema kuwa kwa wakati huu wamewazuia wachezaji wa Simba kula vyakula vyenye mafuta na vinywaji vyenye sukari nyingi ili kulinda afya zao.Ligi Kuu Tanzania Bara imesimama kwa sasa kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona ambapo wakati...
MEDDIE Kagere mshambuliaji wa Simba amesema kuwa sababu kubwa inayomfnya afunge akiwa ndani ya uwanja ni umakini wa kutumia nafasi anazozipata pamoja na ushirikiano wa wachezaji wenzake.Wakati Ligi Kuu Bara inasimamishwa kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona, Kagere alikuwa...
WAKATI Simba ikitajwa kumalizana na beki wa kati wa Coastal Union, Bakari Mwamnyeto, kiungo wa zamani wa Polisi Mara, Musa Keita amesema Wekundu hao wa Msimbazi watakuwa wamelamba dume kumsajili nyota huyo kwani wataboresha safu yao ya ulinzi ambayo...
HUKU ikielezwa kwamba Kocha Luc Eymael amewaambia viongozi hatamuongezea mkataba, David Ndama Molinga ‘Falcao’ yeye ana ishu yake ambayo akiwaambia viongozi itakuwa sapraizi kubwa kwao.Mchezaji huyo ambaye ametulia zake ghetto Jijini Dar es Salaam, ameliambia gazeti la Mwanaspoti kwamba...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS