Baada ya iliyopita Jumatano kusambaa taarifa zinazomuhusu kiungo wa Simba, James Kotei kutimkia katika Klabu ya Kaizer Chief ya Afrika Kusini, aliyewahi kuwa kocha wa timu hiyo, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ amesema Simba wamefanya makosa kumuachia mchezaji huyo.Kotei aliyejiunga na...
PIERRE Aubameyang mshambuliaji wa Arsenal amezua taharuki baada ya kusema kwamba yupo tayari kutua Manchester United msimu ujao.Aubameyang amekuwa akihusishwa kujiunga na United ili akazibe pengo la mshambuliaji Romelo Lukaku ambaye inadaiwa anataka kujiunga na Inter Milan.Arsenal inamtegemea kwa...
IMEELEZWA kuwa Yanga kwa sasa hawataki utani kwani wamedhamiria kujenga kikosi imara kitakachorejesha furaha Jangwani hali iliyofanya wasajili nyota wakali.Miongoni mwa nyota ambao wamesajiliwa ndani ya Yanga ni pamoja na Juma Balinya, Aly Ally, Maybin Kalengo,Issa Sibomana na Patrick...
Meneja wa Msanii Diamond Platnumz afunguka kuhusu wasanii wa WCB kuwa na walinzi na kusema anayepinga kuwa na walinzi hana pesa ya kuwalipa.
Uongozi wa klabu ya Yanga kupitia Mwenyekiti wake Mshindo Msolla, umetoa siku nne kwa wale wote wanaotumia nembo ya klabu kujinufaisha. Akiongea mchana wa leo Juni 28, 2019 makao makuu ya klabu Msolla amesema kwa wote wanaotengeneza jezi na vifaa...
CHAMPIONI Jumamosi litakuwa na habari za kutosha juu ya usajili wa Simba, Yanga, Azam FC, Lipuli mpaka Ulaya usikubali kukosa
SELEMAN Ndikumana, mshambuliaji kutoka Al Adalah ya Saud Arabia amejiunga na klabu ya Azam FC kwa kuasini kandarasi ya mwaka mmoja.Ndikumana raia wa Burundi ametua Azam FC baada ya kupendekezwa na Kocha Mkuu, Etienne Ndayiragije.Hii ni timu ya pili kuwahi kucheza...
Klabu ya soka ya AC Milan ya Italy yenye makazi yake katika uwanja wa San Siro itatumikia kifungo cha mwaka mmoja kutokushiriki michuano ya Ulaya inayoandaliwa na Shirikisho la Soka la Ulaya (UEFA) ikiwa ni Klabu Bingwa Ulaya na...