GUMZO la mashabiki ni kwamba Beno Kakolanya anaweza kumuweka benchi Aishi Manula?Amesaini mkataba wa miaka miwili Msimbazi. Lakini ametamka kwamba; “Moto utawaka.”Kakolanya kujiunga na Simba ni wazi vita ya namba itazidi kukolea kwenye kikosi hicho ambacho kinaongozwa na Tanzania...
Meneja wa mchezaji Juma Balinya, Patrick Gakumba akifunguka juu ya mchezaji huyo kushindwa kujiunga na Simba na badala yake aksajiliwa na Yanga.
Lile suala la Meddie Kagere kutakiwa na Zamalek kwa dau la bilioni 1.2 za kitanzania, ishu nzima ipo namna hii.
MAURIZIO Sarri aliyekuwa meneja wa Chelsea sasa ni mali ya Juventus ambapo amesaini kandarasi ya miaka mitatu.Timu yake ya zamani Chelsea imethibitisha kocha wake Sarri kusepa katika timu hiyo na kutua Juventus.Juventus, wamemtangaza Sarri kuwa meneja wao mpya, akichukua...
Leo timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' itaingia uwanjani katika mchezo wa pili wa majaribio dhidi ya Zimbabwe, mchezo utakaopigwa katika uwanja wa El Sekka El Hadid jijini Cairo majira ya saa 2:00 usiku.Stars imeweka kambi nchini Misri...
WAKATI uongozi wa Yanga ukiwa kimya kwa baadhi ya nyota wake imebainika kuwa hata kiungo mkongwe wa timu hiyo, Haruna Moshi ‘Bobani’ bado hajapigiwa simu na bado anawasikilizia kujua hatma yake.Boban alijiunga na Yanga kipindi cha dirisha dogo kwa...
Timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” leo inashuka dimbani kucheza mchezo wa pili wa Kirafiki dhidi ya Zimbabwe.Mchezo huo utakaochezwa saa 2 Usiku kwenye Uwanja wa El Sekka El Hadid,Cairo ni sehemu ya maandalizi ya Taifa...
UONGOZI wa timu ya Manispaa ya Kinondoni, KMC umeamua kuendelea kuwapiga pini nyota wao wanaowahitaji ambapo leo tena wamemuongezea kandarasi mchezaji wao Cliff Buyoya.Ofisa Habari wa KMC, Anwar Binde amesema kuwa mpango mkubwa uliopo kwa sasa ni kukisuka kikosi...