Home Blog Page 2803
PAUL Pogba, kiungo mshambuliaji wa Manchester United amesema kuwa itakuwa habari njema kwake kuondoka ndani ya kikosi hicho ili kupata changamoto mpya mbali na Premier League.Mfarasa huyo anahusishwa kujiunga na Real Madrid ili kufanya kazi na meneja Zinedine Zidane ama...
MODewji hataki kuona mchezaji ambaye bado anahitajika na Kocha Patrick Aussems pale Simba anaondoka ndiyo maana amevunja benki na kumpa nahodha msaidizi, Mohammed Hussein ‘Tshabalala’ Sh mil 80 na mshahara wa kufuru.Tshabalala alijiunga na Simba msimu wa 2014/15 akitokea...
KLABU ya Polokwane ya Afrika Kusini imekubali yaishe kwa mshambuliaji wa Simba, John Bocco na kumuomba kwa mkopo Adam Salamba aende kukipiga nchini huko.Hiyo, ikiwa ni siku chache tangu utata uibuke mara baada ya picha Bocco kusambaa zikimuonyesha akisaini...
UONGOZI wa timu ya Mtibwa Sugar umesema kuwa mchezaji wao Nickson Clement Kibabage anataraji kujiunga na Difaa Hassani El Jadida msimu ujao 2019/2020.Kibabage ameingia makubaliano ya miaka ya 4 kuitumikia Difaa El Jadida (2019-2023). Difaa Hassan El Jadida na Mtibwa...
YANGA inataka ianze kutesti mitambo yake kuelekea kimataifa na sasa ipo kwenye mazungumzo ya mwisho na klabu kubwa za DR Congo, AS Vita na TP Mazembe kwa ajili ya kuzileta hapa nchini kucheza mchezo wa kirafiki wa kimataifa.Yanga wamepanga,...
YANGA wabishi balaa! Hili ndiyo neno pekee unaloweza kusema kwa sasa baada ya uongozi wa timu hiyo kufanikiwa kuinasa saini ya mlinda mlango wa timu ya Tanzania Prisons, Aron Kalambo ambaye kwa sasa yupo nchini Misri na kikosi cha...
Tovuti yetu ina zaidi ya makala/uchambuzi na habari 1,000 za kuvutia, bila kusahau Msimamo, Wafungaji bora, Matokeo na Ratiba, tukielekea katika michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika tovuti itatoa jezi mbili za timu ya Taifa Tanzania,...
KWA sasa joto la usajili ndio limepamba moto huku kila timu ikiwa bize kukamiisha usajili wa wachezaji ambao wanawahitaji.Mpaka sasa tayari mabingwa watetezi Simba wamewatangaza rasmi wachezaji watano ambao wamemalizana nao kila kitu na watawatambulisha rasmi Juni 21 Mwanza.Hawa...
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mkongomani, Mwinyi Zahera ametoa masharti ya usajili wa wachezaji wapya.Yanga hadi hivi sasa imekamilisha usajili wa wachezaji saba ambao ni Issa Birigimana ‘Walcott’, Patrick Sibomana (Rwanda), Lamine Moro (Ghana), Maybin Kalengo (Zambia), Farouk Shikhalo (Kenya)...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS