Tovuti yetu ina zaidi ya makala/uchambuzi na habari 1,000 za kuvutia, bila kusahau Msimamo, Wafungaji bora, Matokeo na Ratiba, tukielekea katika michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika tovuti itatoa jezi mbili za timu ya Taifa Tanzania, kwa kuanzia kwa Wanakandanda watakaokuwa wamesoma makala zetu na kutoa maoni yao wakitumia hashtagg #NimeisomaHii.
Nini ufanye?
Fungua habari au makala yoyote kupitia www.kandanda.co.tz, isome makala,habari au ratiba/matokeo.
Andika maoni yako ukitumia akaunti yako ya Facebook malizia na neno #NimeisomaHii (Mfano katika picha juu)
Nitashinda kivipi?
Toa maoni zaidi ukitumia #NimeisomaHii na sambaza kwa marafiki.
Muda:
Kuanzia tarehe 16/06/2019 hadi tarehe 23/06/2019
*vigezo na masharti kuzingatiwa
Anza sasa: Hizi chini ni za hivi karibuni.
- #NimeisomaHii: Shinda jezi ya timu ya Taifa ya Tanzania
- Mane kuikosa Stars
- Balinya atua Yanga
- Hivi Sasa ni saa Saba Kamili!
- Misimu mitatu, mechi chini ya 20, Beno amejimaliza kuichagua Simba
- Kakolanya rasmi Simba
- Kwanini tunasita kumwiita Manula , Tanzania one?
- Kutoka Misri 1-0 Stars, mwambieni Amunike Samatta ni namba 10, Bocco 9
- Ulimwengu atemwa
- 11 Bora wetu hawa hapa
The post #NimeisomaHii: Shinda jezi ya timu ya Taifa ya Tanzania appeared first on Kandanda.