Home Blog Page 2815
Kwa mujibu wa The Sun, Manchester United wapo tayari kumpa David de Gea pauni 20m kama mlinda mlango huyo atahamia Paris Saint-Germain katika usajili wa majira ya joto.Fedha hizo ni sehemu ya mauzo ya kipa huyo ambapo mmoja wa mabosi wa mashetani hao wekundu...
Wachimbaji watano leo Jumapili Juni 9, 2019 wamefariki baada ya kufukiwa na kifusi katika machimbo ya dhahabu, katika kijiji cha Kirama kata ya Kiogwe wilayani Gairo mkoani Morogoro.Taarifa za awali zinaeleza kuwa wachimbaji hao wamefukiwa na kifusi cha mchanga...
UONGOZI wa Lipuli umesema kuwa kwa sasa hesabu zao kubwa ni kusuka kikosi makini kitakachojiuza chenyewe kwa kuwavutia wawekezaji msimu ujao.Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Habari wa Lipuli, Clement Sanga amesema kuwa changamoto ya ukata imewapa taabu sana hivyo...
Kassim Khamis, mshambuliaji wa Kagera Sugar saini yake inawindwa na uongozi wa Yanga, Azam FC na Simba kutokana na uwezo wake mkubwa akiwa ndani ya uwanja hasa kwa kufanikiwa kumiliki mpira na kuzuia asipokonywe mguuni.Kassim alimvutia kocha mkuu wa...
STRAIKA wa Simba, Moses Kitandu anayekipiga Coastal Union kwa mkopo yupo mguu nje ndani kutimkia kucheza soka la kulipwa katika timu ya KCB.Kitandu ambaye KCB walivutiwa na uwezo wake msimu wa mwaka 2017/18 Simba ilipocheza michuano ya SportPesa Cup kwa...
Simba na Yanga wamejitoa katika mashindano ya Kagame Cup kwa sababu mbalimbali na kuifanya Tanzania iwe na mwakilishi mmoja tu ambaye ni Azam FC.Azam FC itatuwakilisha katika michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika msimu ujao. Kama...
MUME wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ Ashiraf Uchebe, amesema tangu aanze kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanamuziki huyo mpaka anamuoa hajawahi kumpiga hata kofi.Uchebe ameibuka na maelezo hayo baada ya kuwepo kwa madai ya muda...
UONGOZI wa Singida United, umesama kuwa kufanya usajili kwa mtindo wa kipekee kwa kutoa fursa kwa wenye vipaji kujitokeza huku dozi yao ikiwa ni asubuhi na jioni haina maana kwamba hawatasajili kiufundi.Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Habari wa Singida...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS