Aliyewahi kuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi, DCP Aziz Juma Mohammed (pichani), amekutwa amejinyonga nje ya nyumba yake, Kibweni, Unguja, usiku wa kuamkia leo. Sababu za kujinyonga bado hazijafahamika na mwili wa marehemu upo Hospitali ya Mnazi...
UONGOZI wa Mwadui FC umesema kuwa wachezaji wote walikuwa na wazo moja kichwani walipoingia uwanjani hali iliyowasaidia kupata matokeo chanya mbele ya wapinzani wao Geita FC mchezo wa Playoff uliochezwa uwanja wa Mwadui.Akizungumza na Saleh Jembe, Katibu wa Mwadui,...
KOCHA Mkuu wa Kagera Sugar, Mecky Maxime amesema kuwa aliwaambia vijana wake watulie kwani mchezo ulikuwa mkononi mwao na kubaki kwenye ligi ilikuwa ni lazima hali iliyowafanya washinde mbele ya Pamba FC kwa mabao 2-0 mchezo wa Playoff.Akizungumza na...
Na Saleh AllyMIAKA mitatu iliyopita wakati kikosi cha Taifa Stars kambini nchini Uturuki, Kocha Mkuu Charles Boniface Mkwasa alilalamika kuhusiana na wachezaji wavivu wa mazoezi. Kati ya aliowataja alikuwa ni Ibrahim Ajibu na Abdi Banda.Mkwasa alimueleza Banda mbele yetu...
Juzi Simba Sc ilitoa taarifa ya kujiondoa katika mashindano ya klabu bingwa Afrika mashariki na Kati (Kagame Cup). Leo hii imetoka barua ya Yanga kujitoa katika mashindano hayo.Yanga imetoa sababu nyingi za wao kujitoa katika mashindano hayo...
Klabu ya yanga imejiondoa rasmi kwenye michuano ya Kagame CUP ambayo inatarajiwa kuanza hivi karibuni huko Rwanda.
Mfahamu vizuri mchezaji Maybin Kalengo aliyetajwa kumalizana na Yanga hapa.
Taarifa zilizopo zinasema kuwa mchezaji Walter Bwalya kutoka Nkana Red Devils ya Zambia ameipa nafasi ya kwanza Simba kumalizana endapo watafikia makubaliano ya dau la usajili na mkataba.
Kuelekea Msimu Ujao Wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Klabu Ya Simba Imepania Kufanya Usajili Hatari Kushinda Msimu Uliopita. Hawa Ni Wachezaji 10 Wapya Wanaoelezwa Kuhitajika Na Klabu Ya Simba.
Kipa wa zamani wa Yanga, Juma Pondamali, amemshauri kipa wa Taifa Stars, Aishi Manula kuongeza jitihada langoni.Pondamali amezungumza hayo ikiwa ni siku mbili zimepita tangu kusafiri kwa Stars kuelekea Misri kwa ajili ya michuano ya AFCON.Ameeleza kwa kusema "Manula...