IMEELEZWA kuwa tayari uongozi wa Azam FC umefikia hatua nzuri ya mazungumzo na kocha wa KMC, Etienne Ndayiragije kwa ajili ya kukinoa kikosi hicho hivyo anahesabiwa masaa tu kutambulishwa.Ndayiragije ambaye alijiunga na KMC msimu wa mwaka 2018/19 kwa kandarasi ya mwaka...
Mabingwa wa Tanzania Bara, Simba SC wamejitoa kwenye michuano ya Kombe la Kagame iliyopangwa kuanza kutimua vumbi Julai mwaka huu nchini Rwanda. Akizungumza na Saleh Jembe Mtendaji Mkuu wa Simba Crescentius Magori amesema ni kweli wameamua kujitoa kwenye michuano hiyo...
BEKI wa Yanga, Paul Godfery 'Boxer' kipenzi cha Mwinyi Zahera kwa sasa haelewi chochote kinachoendelea juu yake msimu ujao kutokana na kutopewa taarifa zozote ndani ya klabu hiyo.Boxer msimu uliopita alionyesha uwezo mkubwa kwenye mechi zake alizocheza ambapo alikuwa...
Uongozi wa KMC umekiri kuachana na kocha wao Etienne Ndayiragije, baada ya mazungumzo baina ya pande mbili.Taarifa kutoka KMC inasema kulikuwa na mazungumzo ya pande mbili ili kukubaliana kumpa mkataba mwingine, kitu amabacho Etiene aliomba kutokuwa na...
BAADA ya kikosi cha Manispaa ya Kinondoni, KMC kupata zali la kushiriki michuano ya kimataifa msimu wa mwaka 2019/20 uongozi umepania kuboresha kikosi kwa ajili ya maandalizi ya michuano hiyo ya kimataifa.Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Habari wa KMC,...
BAADA ya Namungo FC kumsajili mshambuliaji wa Alliance FC, Bigirimana Blaise kwa kandarasi ya mwaka mmoja imeelezwa kuwa wanaiwinda saini ya mlinda mlango wa Yanga, Ramadhan Kabwili ili aongeze nguvu kwenye kikosi chao.Kabwili kwa sasa mkataba wake na Yanga...
MUONEKANO wa Ukurasa wa nyuma Gazeti la CHAMPIONI Ijumaa
MUONEKANO wa Ukurasa wa Mbele Gazeti la CHAMPIONI Ijumaa
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amesema kuwa anaogopa kufanya kazi na mzawa kwa kuwa ana mfano hai aliouona kwa kocha wa Azam FC Hans Pluijm ambaye alitimuliwa ndani ya Azam FC.Hii ni kutokana na kile kilichoelezwa kwamba anatafutiwa...
Kipindi cha Spoti House kimeendelea tena, pata nafasi ya kuwasikiliza wachambuzi mbalimbali wa mabo ya soka kuhusiana na mpira wa miguu.