Kiungo mshambuliaji wa Kimataifa wa Rwanda, Issa Bigirimana amesaini mkataba wa miaka miwili kuichezea klabu ya Yanga akitokea klabu ya APR ya Rwanda.Usajili huo umefanyika kutokana na pendekezo la Kocha Mwinyi Zahera ambaye amepewa majukumu yote hivi sasa ya...
MKE wa aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Limited, marehemu Dkt. Reginald Mengi, Jacqueline Ntuyabaliwe, kwa mara ya kwanza tangu msiba huo ulipotokea, ameingia mtandaoni na kuposti ujumbe kuhusu aliyekuwa mumewe huyo.Kupitia ukurasa wake wa Twitter ameandika maneno...
Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), ameipongeza Simba kwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu
Muimbaji wa taarab nchini Bi. Rukia Juma, ambaye pia ni mama mzazi wa msanii Isha Mashauzi, amefariki dunia leo Mei 29, 2019 akiwa njiani kuelekea hospitali ya taifa Muhimbili kwaajili ya matibabu.
Baada ya TP Mazembe kuachana na usajili wa Ibrahim Ajib Migomba wiki hii kwa madai ya kutoelewana wao na mchezaji.TP Mazembe wamerudi tena upya kwa ajili ya kufanya mazungumzo na Ibrahim Ajib tena kwa Mara nyingine tena.Inasemekana...
NDOTO za Frank Lampard kuipandisha timu yake ya Derby County kwenye Ligi Kuu England ziliyeyuka baada ya timu yake kulizwa na Aston Villa mabao 2-1 kwenye fainali ya mtoano wa Ligi Daraja la Kwanza England iliyochezwa kwenye Uwanja wa...
Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera alivyozungumzia suala la Simba kuwa bingwa wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2018/19.
CHELSEA na Arsenal zinavaana leo Jumatano kwenye mechi ya fainali ya Ligi ya Europa itakayopigwa kwenye Uwanja wa Olimpiki mjini Baku katika nchi ya Azerbajain.Mchezo huu ni muhimu zaidi kwa Arsenal kwani ikitwaa taji hili itapata tiketi ya kucheza...
KUNA dalili za kibarua cha kocha Ernesto Valverde `kuota nyasi’ kufuatia kitendo cha Barcelona kuamua kuwasiliana na Roberto Martinez.Gazeti la Sport limedai kuwa viongozi wa Barcelona wamezungumza na Martinez, ambaye kwa sasa anainoa timu ya taifa yaUbelgiji.Viongozi wa Barcelona inasemekana wanataka...