Home Blog Page 5
Ushindi haupo tu kwenye dau unaloliweka bali upo kwenye namna unavyozitumia fursa, na aina ya zawadiunazozipata. Meridianbet imebadilisha mchezo kwa kuleta ofa ya kipekee, simu mpya ya Samsung Galaxy A25 kwa wachezaji wa Super Heli. Hii si promosheni ya...
Je unajua kuwa kwenye dirisha hili la usajili timu mbalimbali zimejifua vilivyo kusajili wachezaji kwa pesa nyingi ili waweze kuwasaidia msimu huu. Kila timu ina malengo ya kuchukua mataji hivyo bila ya kuwa na wachezaji wenye uwezo mkubwa ni...
Unatafuta burudani, ushindi, na zawadi za kifahari? Usihangaike tena. Meridianbet imezindua promosheni ya kipekee kupitia mchezo wa Aviator, ambapo wachezaji wote wana nafasi ya kushinda simu mpya ya kisasa aina ya Samsung A25 kila wiki, bila gharama ya ziada. Kuanzia...
Meridianbet imeleta burudani mpya kwa wapenzi wa kasino mtandaoni kupitia Meridian Bonanza, mchezo unaochanganya bahati, mbinu, na msisimko wa kiwango cha juu. Huu si mchezo wa kawaida, ni uzoefu unaokuletea karibu na ushindi katika kila mzunguko. Kwa kipengele cha Ante...
Pesa nje nje ndani ya Meridianbet siku ya leo. Leo hii unaweza ukabashiri timu ambazo zinaweza kushuka daraja msimu ujao pale Uingereza. Odds za timu hizo ni kubwa hivyo tengeneza jamvi lako la ushindi sasa. Brentford ni timu ya sita...
Dar es Salaam. Msimu mpya wa kombe la Kagame (Kagame Cup) unaanza leo, Septemba 2, 2025 kwa mechi mbili kuchezwa kwenye uwanja wa Major General Isamuhyo, Dar es Salaam, mechi hizo zikitarajiwa kutangazwa mubashara na kituo cha radio cha Times FM. Times...
KWA mara ya kwanza, Klabu ya Azam, imefunguka juu ya sakata zima la kiungo mshambuliaji wake, Feisal Salum, ikisema hakuna klabu yoyote ya ndani iliyopeleka ofa, wala yeye mwenyewe kuomba kuondoka, kabla ya kuamua kumwongeza mkataba wa mwaka mmoja. Azam...
VIGOGO vya soka nchini, Simba, Yanga na Azam FC wamelainishwa mambo katika ishu za usajili, lakini wakabanwa kwa upande mwingine katika Ligi Kuu Bara na michuano ya Kombe la Shirikisho (FA) kwa msimu mpya wa 2025-26. Msimu huo unatarajiwa kuzinduliwa...
KATI ya vitu ambavyo kocha wa Simba, Fadlu Davids vinampasua kichwa ikiwa ni siku chache tu kabla ya kuanza msimu mpya wa 2025/26 ni pamoja na mchezaji mwenye sifa ya kuamua mchezo, ambapo katika mahojiano yake kabla ya kurejea...
Dunia ya kasino mtandaoni imejaa promosheni nyingi, lakini kuna wakati fulani ambapo Meridianbet huinua mizani na kuwasha moto wa kipekee. Hapo ndipo inapokuja Happy Hour Zombie Apocalypse Free Spins, shoo halisi ya burudani na ushindi kwa kila mpenzi wa...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS