Mabilioni ya Allan Okello yamrudisha Aziz Ki Jangwani,Atambulishwa Rasmi Yanga SC!
Klabu ya Yanga SC imetimiza ahadi yake ya kumrudisha mchezaji wake wa zamani na kipenzi cha mashabiki, Stephane Aziz Ki, baada ya kukamilisha mazungumzo marefu…
Klabu ya Yanga SC imetimiza ahadi yake ya kumrudisha mchezaji wake wa zamani na kipenzi cha mashabiki, Stephane Aziz Ki, baada ya kukamilisha mazungumzo marefu…
Klabu ya Napoli inadaiwa kuongeza dau ili kufanikisha usajili wa beki wa kati wa Chelsea, Benoit Badiashile. Mazungumzo kati ya pande zote mbili pamoja na…
Klabu ya Simba SC imezidi kuimarisha kikosi chake kuelekea msimu mpya wa mashindano baada ya kukamilisha rasmi usajili wa mshambuliaji machachari, Ismail Mgunda, kutoka Mashujaa…
SAA na Dakika zikisogea, ndivyo hamu ya mashabiki wa Yanga inavyopanda, huku klabu hiyo ikikaribia kukamilisha usajili wa ‘X Factor’ wake mpya, Gelson Dala, kiungo…
Ahmed Ally Aweka Wazi Msimamo wa Simba kwa Ibrahim Doumbia, Atoa Mfano wa Bocco na Kibu Uongozi wa Simba SC umewataka mashabiki na wanachama wa…
Kuna mchezo mpya unaochukua nafasi kwenye eneo la kasino, na safari hii ni ya Bubble Up kutoka Pragmatic Play ambayo sasa imewasili Meridianbet, ikiwa tayari kuwapa wachezaji…
Uwanja wa Stadion Galgenwaard jijini Utrecht utakuwa mwenyeji wa mchezo wa kuvutia leo Jumamosi, Agosti 15, pale FC Utrecht watakapokutana na AZ Alkmaar katika raundi…
Kuna wasanii wanaopanda jukwaani kutumbuiza, lakini kuna wengine wanaopanda na kuacha somo la kutochafuliwa. Usiku wa Agosti 14, 2026, kwenye Tamasha la Imbeju Sauti Moja…
Staa wa Bongofleva, Diamond Platnumz, amewashangaza na kuwasisimua mashabiki kwenye Tamasha la Imbeju Sauti Moja lililofanyika Viwanja vya Posta, Dar es Salaam, baada ya kutokea…
Safu ya ulinzi ya Namungo FC leo inakabiliwa na mtihani mzito wa kuzuia mashambulizi makali ya Yanga SC, huku mabingwa hao watetezi wa Ligi Kuu…