GEITA vs SIMBA …NI MWENDO WA KAZI KAZI…MPOLE AMTAMANI MANULA…SIMBA KUTEMA RASMI TAJI LEO..?
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti leo Jumapili.
GEORGE MPOLE AWAPA NENO HILI WANAOMCHUKULIA POA….APANIA KUIBEBA DHAHABU YA JOHN BOCCO…
Straika wa Geita Gold, George Mpole juzi amefunga bao lake la 13 kwenye Ligi Kuu Bara msimu huu na kuongoza mbio za kuwania kiatu...
KUELEKEA MSIMU UJAO…SIMBA WAMNYATIA STRAIKA HUYU WA ORLANDO PIRATES…AMEFUNGA GOLI 5 TU MSIMU HUU...
IMEELEZWA kuwa Simba imeanza mazungumzo na mshambuliaji wa Orlando Pirates ya nchini Afrika Kusini, Kwame Peprah raia wa Ghana kwa ajili ya kumsajili kuelekea...
KISA MAJERUHI YA LWANGA…KIUNGO MZAMBIA APEWA MKATABA SIMBA…PABLO ATOA MAELEKEZO MAZITO…
UNAAMBIWA mwenendo wa majeraha kwa kiungo Taddeo Lwanga raia wa Uganda, umemfanya Kocha Mkuu wa Simba, Pablo Franco alazimike kumuongeza mkataba mpya kiungo wake...
IBENGE NA RS BERKANE WAFANYA KWELI KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA….WABEBA NDOO KIBABE MBELE YA...
Klabu ya RS Berkane ya Morroco ni mabingwa wapya wa Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kushinda kwenye mchezo wa fainali dhidi ya Orlando...
KUELEKEA MSIMU UJAO…DEO KANDA AFUNGUKA ISHU YA KURUDI TENA SIMBA….AITAJA YANGA….
Mshambuliaji wa zamani wa Klabu ya Simba, ambaye kwa sasa anaitumikia Mtibwa Sugar, Deo Kanda amesema malengo yake ni kuhakikisha anarejea katika vilabu vikubwa...
TETESI ZA USAJILI ULAYA…WAKALA ASHINIKIZA LEWANDOWSKI KUTUA BARCELONA…ANUNUA JEZI KUMI ZA BARCA….
Wakala wa Robert Lewandowski, Pini Zahavi ameripotiwa kununua jezi 10 za klabu ya Barcelona zilizochapishwa jina la mshambuliaji huyo kwenye duka rasmi la klabu...
HUYU HAPA MWAMUZI WA KIKE MNYARWANDA ‘ALIYEKULA SHAVU’ KUCHEZESHA KOMBE LA DUNIA QATAR…
Mwamuzi kutoka Rwanda, Salima Mukansanga ametajwa kuwa mmoja wa waamuzi watatu wa kike watakaochezesha Fainali za Kombe la Dunia 2022 nchini Qatar.Waamuzi wanamke hawajawahi...
ARSENAL vs EVERTON..MECHI YA KUAMUA HATMA YA TOP 4 KWA ARTETA…BIRIANI LOTE HILI NI...
Everton hawana deni tena la kushuka daraja lakini Arsenal bado wana matumaini na Top 4! Je watafanikiwa?Ni Jumapili hii ndani ya @dstvtanzania pekee kupitia...
KUELEKEA MSIMU UJAO…TEGEMEA KITASA HIKI CHA KAZI KUTOKA CAMEROON KUTUA SIMBA…ALIWAHI KUKIPIGA LA GALAXY..
Klabu ya Simba ipo katika mazungumzo na beki la kazi raia wa Cameroon, Jean Jospin Engola kwa ajili ya kuimarisha ukuta wa timu hiyo...