SIKU CHACHE BAADA YA KUWA MCHEZAJI WA KWANZA KUTEMWA….MORRISON NAYE AANZA KUJIBU MAPIGO KWA...
Kiuongo wa Simba, Bernard Morrison raia wa Ghana ameondoa maelezo kwenye ukurasa wake wa Instagram ambayo awali yalikuwa yakieleza kuwa ni mchezaji wa Simba...
JEURI YA FEDHA…YANGA WAKODI HOTELI MBILI KALI……CHAMA ARUDI KWAO…MKUDE, SAIDO WALETA PIGO SIMBA…
Pitia Ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti la leo Ijumaa.
JE LIVERPOOL ATALIPA KISASI MBELE YA MADRID KESHO..?MZIGO MZIMA NDANI YA DStv KWA MSELELEKO...
@dstvtanzania haipoi haiboi! Baada ya Liverpool kupoteza kombe la #EPL Jumamosi hii anakipiga dhidi ya Real Madrid kwenye fainali ya #UEFA!Je ataweza kupata kombe...
PAMOJA NA KUSEMA KUWA AMEPONA…YANGA WAANIKA MUSTAKABALI WA YACOUBA…DAKTARI AFICHUA YA NYUMA YA PAZIA…
Yanga iko Kanda ya ziwa kwa maandalizi ya kuelekea mchezo dhidi ya Simba wa Nusu Fainali ya Kombe la Azam Shirikisho (ASFC) wakiwa na...
KUELEKEA MECHI NA YANGA J/MOSI….BARBARA ‘AMPIGA MKWARA’ PABLO…AMWAMBIA USHINDI LAZIMA…LA SIVYO…
Simba imefafanua hali za Shomari Kapombe, Aishi Manula na Clatous Chama kuelekea mechi ya Jumamosi kwenye nusu fainali ya FA itakayopigwa kwenye Uwanja wa...
KUHUSU KUBAKI AU KUSEPA LIVEPOOL MSIMU UJAO …SALAH KAVUNJA UKIMYA…KAFUNGUKA ANACHOHITAJI KWA SASA…
Mshambuliaji wa Liverpool Mohamed Salah, amesema ana nia ya kuichezea klabu hiyo msimu ujao licha ya kuwa amebakiza mwaka mmoja tu kwenye mkataba wake.Mkataba...
ILE ISHU YA CHAMA KURUDISHWA DAR WAKATI WENZAKE WAKIJIANDAA NA YANGA MWANZA KUMBE CHANZO...
Kiungo mshambuliaji wa kikosi cha Simba Clatous Chama hatokuwa sehemu ya kikosi kitakachowakabili Yanga Jumamosi kwenye uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza baada ya...
KUHUSU ISHU YA KUTEMANA NA YANGA…NTIBAZONKIZA APANGA KUTAPIKA NYONGO…”SITARUHUSU MTU ANICHAFUE”…
Ikiwa ni muda mfupi baada ya kuibuka taarifa kumuhusu kiungo Saido Ntibazonkiza raia wa Burundi kudaiwa kuachana na Yanga sc, Saido mwenyewe ameibuka na...
AS ROMA NA MOURINHO WAWEKA HISTORIA HII MPYA ULAYA…KILA MMOJA KAMNUFAIKA MWENZAKE..YANI NIPE NIKUPE….
Jose Mourinho ameweka rekodi ya kuwa kocha wa kwanza barani ulaya kushinda makombe 3 tofauti ya vilabu barani ulaya baada ya kukiongoza kikosi cha...
WAKATI MATANGAZO YAKIWA ‘LIVE’… BBC WAIITA MAN UTD TAKATAKA…CEO WAO AFICHUA ALIYEFANYA MCHEZO HUO…
Shirika la utangazaji nchini Uingereza BBC limeiomba radhi klabu ya Manchester United baada ya maneno ya kuikashifu klabu hiyo kuoneka kwenye matamgazo yao ambayo...