Trending Stories
View All
SIMBA YATAJA SABABU YA KUTUMIA BASI KUIFUATA JKT TANZANIA
UONGOZI wa Simba umesema kuwa sababu kubwa ya wao leo kuifuata JKT Tanzania, Dodoma kwa basi ni kutimza ombi la…
RUVU SHOOTING: TUTASHINDA TU MBELE YA DODOMA JIJI FC
UONGOZI wa timu ya Ruvu Shooting umeweka wazi kuwa unajiamini katika uwezo wao na utapambana kupata matokeo chanya kwenye…
MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Ijumaa
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Ijumaa
RAUNDI YA TANO RATIBA KAMILI VPL HII HAPA
Ijumaa,Oktoba 2 Dodoma Jiji v Ruvu Shooting, Uwanja wa Jamhuri Dodoma saa 10:00 jioni. Oktoba 3 Gwambina v Ihefu, saa…
ISHU YA MAPUNGUFU YA MKATABA WA MORRISON, SIMBA YAJIBU KIMTINDO
BAADA ya Uongozi wa Yanga kupitia kwa Makamu Mwenyekiti, Fredrick Mwakalebela kudai kuwa mkataba wa mchezaji wao wa zamani…
KESHO NI DODOMA JIJI V RUVU SHOOTING UWANJANI
KESHO Oktoba 2 Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea kuchanja mbuga ikiwa ni raundi ya tano sasa baada ya raundi…
YANGA YADAI MKATABA WA MORRISON SIMBA SIO HALALI
KLABU ya Yanga imeibua upya utata mwingine wa mkataba wa mshambuliaji Bernard Morrison wakidai hana mkataba halali na mabosi wake…
KOCHA YANGA AFAFANUA DAKIKA 15 ZA WAZIR JR
KOCHA Msaidizi wa Yanga, Juma Mwambusi amesema kuwa ulikuwa ni mpango maalumu kumuingiza nyota wao Wazir Junior kipindi cha…
LAMINE MORO ATAMBA KUENDELEA KUTUPIA NDANI YA LIGI KISA UWEPO WA MUANGOLA
BEKI wa Yanga, Lamine Moro, amefunguka kuwa kama kiungo wa timu hiyo, Carlos Carlinhos, raia wa Angola ataendelea kupata…
GWAMBINA FC HALI TETE NDANI YA DAKIKA 360
KLABU ya Gwambina FC inayonolewa na Kocha Mkuu, Fulgence Novatus imetumia dakika 360 ndani ya uwanja bila kufunga bao…
FUNGIAFUNGIA YA VIWANJA INAFIKIRISHA, MUHIMU KUWEKEZA NGUVU KWENYE MAANDALIZI
MZUNGUKO wa nne wa Ligi Kuu Bara umekamika kwa michezo tisa kupigwa kwenye viwanja mbalimbali hapa nchini ambapo, wapo…
WACHEZAJI WAKATI HUU NI MUHIMU KUONGEZA JUHUDI ILI KUJIWEKA SOKONI
LIGI Kuu Bara imekuwa na changamoto kubwa hasa kwa upande wa waamuzi pamoja na wachezaji wenyewe kushindana ndani ya…
SIMBA KUIFUATA JKT TANZANIA, WAKIMALIZANA NAO KUKUTANA NA YANGA
SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa wachezaji wake wanazidi kuimarika kila siku hivyo anaamini kwamba atapata pointi tatu…
YANGA YAZIPIGIA HESABU POINTI TATU ZA COASTAL UNION
KOCHA Msaidizi wa Yanga, Juma Mwambusi amesema kuwa ana imani kwamba wachezaji wake watakuwa kwenye ubora kwa kadri ambavyo wanaendelea…
AZAM FC WALITAKA KOMBE LA SIMBA MAPEMA
AZAM FC imesema kuwa malengo makubwa kwa msimu huu ni kushinda kila mechi ili kupata pointi tatu muhimu zitakazowapa nafasi…